huna unachojua, mmekuja juzijuzi tu mnajidai wanamageuzi milobobea, muda wote mlikuwa wapi! kama wanaume si mngeanzisha chama chenu muda mrefu!Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu
huna unachojua, mmekuja juzijuzi tu mnajidai wanamageuzi milobobea, muda wote mlikuwa wapi! kama wanaume si mngeanzisha chama chenu muda mrefu!
Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu
we ndo hovyo kuliko hovyo yenyewe! ana kipi cha zaidi au ndo umepigwa upofu wa kishabiki tuHovyoooooooo!, unapo sema tuwape ccm, unajitofautisha vipi na hao unao waita wasaliti?. Hivi kwa katiba ya chadema, mwana chama anatakiwa akae muda gani baada ya kujiunga ili awe na haki ya kugombea nyadhifa mbali mbali ktk chama?????.
Ndugu wapenzi na wanachadema halisi wa chadema na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamani.
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye hangefaa kuongoza nchi? ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula? kweli tunafikia sehem kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm! hii haiingiii akilini! huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya. kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind. mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwawekakando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.
jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi huki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza!
ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo! kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.
wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.
tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.
wanamageuzi wakweli shime tupigie ccm mwaka huu.
huna unachojua, mmekuja juzijuzi tu mnajidai wanamageuzi milobobea, muda wote mlikuwa wapi! kama wanaume si mngeanzisha chama chenu muda mrefu!
hahaha mbona umepanic kaka, hapa ni hoja tu, matusi hayana nafasiWe k.nge usibishane na mimi kama uliingia CHADEMA upate nafasi ya kugombea ukakosa rudi CCM, huko ndo kuna mrundikano wa nafasi ... ...unasema sina ninachojua wakati najua unaandika utumbo tu hapa.
Ndugu wapenzi na wanachadema halisi wa chadema na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze,
- cheo ni dhamani.hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
- kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini!
- ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula? kweli tunafikia sehem kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm!
- huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya.
- kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili
- kutumia akili na means yeyote kuwaweka kando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.
- jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi huki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza!
- ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo! kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.
- wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli. tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
- kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba. wanamageuzi wakweli shime tupigie ccm mwaka huu.
Ndugu wapenzi na wanachadema halisi wa chadema na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamani.
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye hangefaa kuongoza nchi? ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula? kweli tunafikia sehem kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm! hii haiingiii akilini! huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya. kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind. mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwawekakando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.
jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi huki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza!
ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo! kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.
wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.
tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.
wanamageuzi wakweli shime tupigie ccm mwaka huu.
Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu
Wewe baki na magazeti yako sisi tunasonga mbele.