Kwa wamama,wanawake wote wa ukweli. . . . !

Kumpenda na kumheshimu mtu kunatokana na mambo mengi,hakuji hivi hivi tu,na haijalishi ni nani!
Mama ndio muhimu wengine siwaoni wanaokua na cheo kama chake,kwaupande wangu hakuna mtu atachukua nafasi yake...
 
Duuh kuna watu wanamaisha magumu, kuwa na **** kama hilo nyumba its psychological torture. Mungu azidi kuwapa nguvu.

ni kweli aisee!halafu huyu mama kuonyesha mapenzi kwa mumewe,pamoja na ulevi wote wa mwanaume ktk kipindi hicho cha miaka kumi na tano ,akazaa tena mtoto ambae ana miaka kumi sasa!huyu ni mwanamke wa kipekee!
 
Mama ndio muhimu wengine siwaoni wanaokua na cheo kama chake,kwaupande wangu hakuna mtu atachukua nafasi yake...

Ni sawa kwa upande wako na wengind waliopata wamama wanaojitambua,lakini kuna watu wamelelewa na baba tu,mama zao hovyo sana!
 
ni kweli aisee!halafu huyu mama kuonyesha mapenzi kwa mumewe,pamoja na ulevi wote wa mwanaume ktk kipindi hicho cha miaka kumi na tano ,akazaa tena mtoto ambae ana miaka kumi sasa!huyu ni mwanamke wa kipekee!

Kuna wamama wa maana sana duniani ndugu yangu!
 
ni kweli aisee!halafu huyu mama kuonyesha mapenzi kwa mumewe,pamoja na ulevi wote wa mwanaume ktk kipindi hicho cha miaka kumi na tano ,akazaa tena mtoto ambae ana miaka kumi sasa!huyu ni mwanamke wa kipekee!

Hao watakuwa ni wale wakina mama old school, believes in holy union regardless the circumstances au aibu mwanamke kutengana na mume.
 
Kinachonifanya niwatambue na kuwapongeza WANAWAKE wa ukweli ni jambo ambalo nimekua ninalishuhudia karibu kila siku kwa rafiki yangu mmoja.Huyu jamaa,baba yake ni mlevi sana,hajui wanae wanakula nini na wanalalaje. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nilimuuliza yule jamaa yangu kuwa wapo kw kwenye maisha hayo kwa muda gani akaniamba kuwa ni muda mrefu umepita tangu baba yake aanze tabia hiyo,aliniambia ni miaka 15 sasa.Yeye baba huondoka asubuhi na hurudi usiku akiwa amelewa. . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . , . . . . . . . . . . . .Kijana ameniambia kuwa amekua akimsikia mama yake akimlalamikia baba yake kila asubuhi juu ya tabia yake ya ulevi.Mdogo wake wa mwisho jamaa yangu ana miaka 10,yani ina maana huyu amekua kwa nguvu ya mama peke yake,huyu mama ni mama lishe.Huyu mama ni mama hasa,ameweza kuilea familia pamoja na dume lisilokua na maana kwa miaka 15,sijui ataendelea na majukumu hayo kwa muda gani. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nampongeza sana huyu mama,pia nawapongeza wanawake wengine wote wanaojituma kwaajili ya familia zao.Japokua ni wachache,nawapongezeni,lakini nawapa pole wanawake ambao wana wanaume wa hovyo kama huyu!

hapo ndipo ulipoharibu.....loh...

i luv u my mom! ni mtihani kuwa na mwamnaume aina ya picha ndani ya nyumba! ngoja wenzie nje wamgongee ndio atajua tofauti ya hitler na askofu!
 
Hao watakuwa ni wale wakina mama old school, believes in holy union regardless the circumstances au aibu mwanamke kutengana na mume.

It seems like,u don't agree with what this woman did for the past 15 years!
 
gfsonwin,kinachonishangaza siku hizi ni kwamba,wadada wa siku hizi wamekua wa hovyo sana.Hawataki kutaabika,wao wanataka maisha ya mtelezo.Wanataka mume atakaewaoa wamkute ana gari,nyumba n.k,hawajui kuwa maisha ya namna hii ni maisha ya kitumwa kabisa.Ukimkuta mtu tayari ana mali lazima atakunyanyasa tu.Tafuta asiekua nacho muanze na mtaheshimiana!
wanaume wote ni hao hao tena wasiokuwa nakitu ndo wabaya zaidi unaweza uanze nae kwa kulala chini siku mkinunua kitanda asilale na wewe kwenye hicho kitanda....akalala na mwenzake...
 
i luv u my mom! ni mtihani kuwa na mwamnaume aina ya picha ndani ya nyumba! ngoja wenzie nje wamgongee ndio atajua tofauti ya hitler na askofu!

Ingekua wewe ungegongwa nje?
 
Kaka KIKUNGU na Eiyer nimependa mchango wa gfsonwin tuliolelewa back then.

Kuhusu limbwata ya kumfanya dad awe irresponsible na drunkard sijui maana hata Dhana yake halisi mimi nilifikiri ni 'kumthibiti mume' au kumfanya asitoke nje.

I have 1st hand experience growing up with a superb mom n not so responsible n drunkard father (may his soul rest in peace). Kitu ninachojua kutoka kwa baba (ambaye alikuwa na uwezo tu) ni ada ya govt school, na uniform; the rest ni mama.

Kuna kipindi wajomba walifikia hatua ya kutaka kumchukua dada yao (namshukuru mama kwa kutufikiria sisi kwanza). Baba ilikuwa ni stool ndefu na yeye yeye na stool ndefu. Anyway wote tulisoma na tukakuwa, being a last born sikupata shida yoyote kwani misaada ya wakubwa zangu ilikuwa ya kunispoil!

Anyway alikuja kuacha pombe kwa nguvu ya prayers na kutokana na yeye kuna ndugu zangu kibao hawajaigusa pombe because of baba mimi.
 
Last edited by a moderator:
wanaume wote ni hao hao tena wasiokuwa nakitu ndo wabaya zaidi unaweza uanze nae kwa kulala chini siku mkinunua kitanda asilale na wewe kwenye hicho kitanda....akalala na mwenzake...

Unakosea sana unaposema wote.Unataka kuniambia hakuna ndoa zenye furaha?
 
asilimia zaidi ya 70 ya wanawake wa kitananzania wanaishi maisha hayo!

nakumbuka kuna rafiki zangu walikua wanamwomba Mungu baba yao afe.......maana alkua hafanyi chochote! hajawahi tafuta msosi, wala mavazi, wala kuwasomesha yote amekua anafanya mama yao na juu ya hapo huyo mama kila siku alkua anapokea kipigo na watoto kufukuzwa na kulala nje anapokuja amelewa.

maisha mabaya sana haya
 
daaah kuombeana kifo sio fair.....lakini wababa wengi ulevi umewaathiri vibaya mno ...
 
My love Kaunga,let me tell u this,maisha na wanadam ni ni vitu vinavyoshangaza sana.Mimi nimelelewa na baba,mama aliniacha mdogo nikiwa na umri wa miaka mi 5,leo nina 3....Halafu mama anatokea.Nimeishi na baba peke yake miaka karibu 30.I realy love ma dad(may his soul rest in peace)angalia sasa,nakutana na wewe ambae mama alikua ndo kila kitu.Maisha ya ajabueeeeh!
 
Duh!Mama D,hao nao waliteseka sana.Ni hali mbaya sana wewe unaetegemewa uwe msingi wa familia halafu unakua wa hovyo!
 
It seems like,u don't agree with what this woman did for the past 15 years!

Well, uvumilivu una kikomo 15yaz :nono: :nono:, bali nampongeza kuwa subira lakini angefanyia panapostahili zaidi.
 
Well, uvumilivu una kikomo 15yaz :nono: :nono:, bali nampongeza kuwa subira lakini angefanyia panapostahili zaidi.

Is that the reason u call youself Madame X?. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Ni wapi panapostahili uvumilivu wa aina hii?
 
Kwa hapa tz sehemu nyingi za vijijini ni familia nyingi sana zinaexperience maisha ya dizaini hiyo..big up to wamama wenye moyo wa kupigania familia zao no matter what!
 
. . . . . Nampongeza sana huyu mama,pia nawapongeza wanawake wengine wote wanaojituma kwaajili ya familia zao.Japokua ni wachache,nawapongezeni,lakini nawapa pole wanawake ambao wana wanaume wa hovyo kama huyu!
Eiyer mi hii sentesi inatosha kuwakilisha mawazo yangu
Salamu zangu kwa akina Mama wote wakiongozwa na Mamndenyi !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom