Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,548
- 2,571
Kumpenda na kumheshimu mtu kunatokana na mambo mengi,hakuji hivi hivi tu,na haijalishi ni nani!
Kula tano mkuu! jibu zuri
Kumpenda na kumheshimu mtu kunatokana na mambo mengi,hakuji hivi hivi tu,na haijalishi ni nani!
ni pm ntakutumia limbwatakikungu,hebu niambie limbata linafananaje?maana huwa nalisikia tu,wala sijawahi ona linafanya kazi!