Kwa waliosomea na wanaosomea ""KADA ZA AFYA"" t

Soyuncu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
193
Reaction score
232
Habali wakuu natumai ni wazima wa afya huu Uzi unawausu kwa wanaosomea na waliosomea mambo ya afya (certificate ,diploma ,bachelor , masters. N.k ) tupeane dondoo kidogo...

1. Ni kitu Gani kimekuvutia kusomea Icho ulichosomea kwenye afya?

2. Je unawaambia nin Au unawashauli nin vijana wanaotaka kusoma taaluma yako?

3. Je unamipango Gani ya baadae baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kwanza kabisa wakati tunaanza kusoma kada ya afya ilikua ajira uhakika.
Kwahio personally ukiachana na ndoto za huko utotoni ilikua kisa ajira (lakini mambo yame-change)

2. Kwa anayetaka kusoma .aje tu asome maana hii kada bado demand ni kubwa sana hata kama system imekataa kuajiri lakini bado manurse ,ma-dr na wafamasia wanahitajika sana..
Pia kwa wale wa imani unashiriki drect kwenye ukombozo wa mtu kimwili.

3. Mipango ni kuendelea kupambana kusaidia watu wengi kadri ya uwezo na elimu yangu huku nikiwa naendelea kujijenga vizuri kiuchumi ili kukishawishi kizazi kijacho maana halisi ya utumishi wa afya aliyoikusudia Socrates ..
 
Sawa mkuu shukran kwa mchango wako

Back
Top Bottom