miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
mwl julius huyo..ss mimi classmate wa asha.lol....team 2000 la saba
Aisee kitambo sana how i wish one day tungefanya ikawa cku maalum ya kukutana wana forodhan woote aisee nahisi ningetokwa na machoz ya furaha
mwl julius huyo..ss mimi classmate wa asha.lol....team 2000 la saba
Aiseer nilishawahi kuPlan hiyo kitu na nikakutana kama na watu 10 hivi....ila tutafanya aiseee.Sisi ni familia moja
nyinyi wa 2001 inabidi niwaunge re union ya 2000 muone mfano wa ushirikiano wa wakubwa zenu mwaka mmoja
Norma Mushema alifariki akiwa form 2 Kisutu girls,na Wito Shelukindo pia alifariki 2009 kama sikosei. May their souls RIP.
Aiseer nilishawahi kuPlan hiyo kitu na nikakutana kama na watu 10 hivi....ila tutafanya aiseee.Sisi ni familia moja
Nikutembelee wapi???
Huyo mwlm Mushi sina ham nae nakumbuka alinicharaza viboko vingi siku moja eti kisa tulimcheka wkt tukiwa class lol sintoweza kisahau hili tukio aisee na kina Neema wote tulikula viboko matata
Kwangu! Kwa sasa nipo Tandika! If uko serious njoo piemo!
Niibiwe simu kisa......aku sitaki mie
Ahaaaa jamani mmenikumbusha mbaaali sana mwalm kimath na mwalim matata nawakumbuka sana afu kuna mwalim wa kiingereza anaitwa jina la mwisho tu ndo nalikumbuka 'nyalika' cjui pia km niko sahihi ila huyu teacher niliwahi kumuona wkt nikiwa chuo pale UDSM naona baadae aliamua kujiendeleza kielim
Mi nilimaliza forodhani p/s mwaka 1999 ila nakumbuka mambo mengi sana na yakufurahisha like chips dume na sanvita ndo nilikuwa navifikiria sana mara tu ifikapo break lol time to remember
Tuunganishe bwana....maana duuuh
You are not serious!
Can you tell me all who live at Tandika they havenot phone?
Btw, uwe na jioni njema + usiku mwema!
aisee,kumbe na makongo umepita!
Makongo nimepita hapo mkuu.....vp kwani???na nilikaa hostel!!!nmekula joro sana hapo.
hahahahaha....nimepta hapo though nilikuwa mbele yako.