nyabhingi JF-Expert Member Oct 12, 2010 15,515 20,005 Jan 25, 2012 #21 hivi hiyo shule si ndo aliyosoma edibily lunyamila miaka ile ya 90?
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Jan 25, 2012 #22 Ngoja na me nitafute alumn wangu wa ilboru humu.
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,661 13,487 Jan 25, 2012 #23 Dena Amsi said: Haijui hiyo shule huyo hata hajui kama ilikuwa shule ya watoto wa matawi ya juu. Mie nilisoma Buhangija bana Click to expand... Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu!
Dena Amsi said: Haijui hiyo shule huyo hata hajui kama ilikuwa shule ya watoto wa matawi ya juu. Mie nilisoma Buhangija bana Click to expand... Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu!
Dena Amsi R I P Aug 17, 2010 13,082 4,262 Jan 25, 2012 #24 Kongosho said: Wee mdogo!!! Click to expand... Ha ha ha mubaya wewe acha uchokozi
Dena Amsi R I P Aug 17, 2010 13,082 4,262 Jan 25, 2012 #25 Zamaulid said: Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu! Click to expand... He he he umeamua kutaja wote??? Mie sio wa juzi wewe
Zamaulid said: Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu! Click to expand... He he he umeamua kutaja wote??? Mie sio wa juzi wewe
Old-Timer Member Aug 9, 2011 76 15 Jan 25, 2012 #26 Zamaulid said: Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu! Click to expand... Nimekubali, mwaka gani kaka. Makene mzee wa math, hosea kiswahili dah! kitambo
Zamaulid said: Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu! Click to expand... Nimekubali, mwaka gani kaka. Makene mzee wa math, hosea kiswahili dah! kitambo
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,661 13,487 Jan 26, 2012 #27 Old-Timer said: Nimekubali, mwaka gani kaka. Makene mzee wa math, hosea kiswahili dah! kitambo Click to expand... miaka ya Tisini hii!!makene yupo dar,hosea yupo pale pale buha!
Old-Timer said: Nimekubali, mwaka gani kaka. Makene mzee wa math, hosea kiswahili dah! kitambo Click to expand... miaka ya Tisini hii!!makene yupo dar,hosea yupo pale pale buha!
S Sumu JF-Expert Member Nov 5, 2010 6,958 6,076 Aug 14, 2019 #28 Dena Amsi said: Eehhh Lalago umenikumbusha mbali sana mweeee Click to expand... Endelea kupumzika kwa amani mkuu.
Dena Amsi said: Eehhh Lalago umenikumbusha mbali sana mweeee Click to expand... Endelea kupumzika kwa amani mkuu.
Sanchez magoli JF-Expert Member Apr 24, 2015 4,056 8,532 Aug 14, 2019 #29 Sumu said: Endelea kupumzika kwa amani mkuu. Click to expand... dah aisee; nimejikuta nimeshika tama tu. Mungu aendelee mpumzisha mahala pema peponi Dada dena amsi.
Sumu said: Endelea kupumzika kwa amani mkuu. Click to expand... dah aisee; nimejikuta nimeshika tama tu. Mungu aendelee mpumzisha mahala pema peponi Dada dena amsi.
Ngareroo JF-Expert Member Aug 11, 2019 2,049 2,249 Aug 14, 2019 #30 Sanchez magoli said: dah aisee; nimejikuta nimeshika tama tu. Mungu aendelee mpumzisha mahala pema peponi Dada dena amsi. Click to expand... Aisee.!!kumbe huu uzi ni wa kitambo chaliangu?..Sasa iyo R.I.P waliyomwekea wao walijuaje kama kafariki?
Sanchez magoli said: dah aisee; nimejikuta nimeshika tama tu. Mungu aendelee mpumzisha mahala pema peponi Dada dena amsi. Click to expand... Aisee.!!kumbe huu uzi ni wa kitambo chaliangu?..Sasa iyo R.I.P waliyomwekea wao walijuaje kama kafariki?
Ngareroo JF-Expert Member Aug 11, 2019 2,049 2,249 Aug 14, 2019 #31 Chuga ndo home ila Shytown kwa Bibi angu kule Ndala Msufini,nimepakumbuka kinyama daaah.!sehemu kama Upongoji,Kambarage,Ibanzamata,Ngokolo pale kuna redio na kanisa kubwa la RC..Shytown ntakuja December asee.!!
Chuga ndo home ila Shytown kwa Bibi angu kule Ndala Msufini,nimepakumbuka kinyama daaah.!sehemu kama Upongoji,Kambarage,Ibanzamata,Ngokolo pale kuna redio na kanisa kubwa la RC..Shytown ntakuja December asee.!!
jiwe angavu JF-Expert Member Aug 28, 2015 19,115 35,949 Aug 14, 2019 #32 Huu uzi watu wa shy wengi..ila buluba imetoa wengi sana.
PAKAYA JF-Expert Member Nov 14, 2013 362 169 Aug 19, 2019 #33 Zamaulid said: miaka ya Tisini hii!!makene yupo dar,hosea yupo pale pale buha! Click to expand... Dahl enzi zangu hizo buhangija head master mom kija
Zamaulid said: miaka ya Tisini hii!!makene yupo dar,hosea yupo pale pale buha! Click to expand... Dahl enzi zangu hizo buhangija head master mom kija