Haijui hiyo shule huyo hata hajui kama ilikuwa shule ya watoto wa matawi ya juu. Mie nilisoma Buhangija bana
Wee mdogo!!!
Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu!
Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu!
Nimekubali, mwaka gani kaka. Makene mzee wa math, hosea kiswahili dah! kitambo
Eehhh Lalago umenikumbusha mbali sana mweeee
dah aisee; nimejikuta nimeshika tama tu.Endelea kupumzika kwa amani mkuu.
Aisee.!!kumbe huu uzi ni wa kitambo chaliangu?..Sasa iyo R.I.P waliyomwekea wao walijuaje kama kafariki?dah aisee; nimejikuta nimeshika tama tu.
Mungu aendelee mpumzisha mahala pema peponi Dada dena amsi.
Dahl enzi zangu hizo buhangija head master mom kijamiaka ya Tisini hii!!makene yupo dar,hosea yupo pale pale buha!