Kwa waliosoma bcom tu.

Mkwizu, Lwiza, Minja, Bais....hawa watu wa Finance lazima wakung'ang'anie mwaka huu!

Dr.Daudi Lwiza siku hizi amekuwa hivi jamaani?Enzi za 92/93 mbona alikuwa poa?Nini mamemsibu?Au alivyounguzwa uso na mke wake ndo hasira anamalizia kwa wanafunzi wake nini?mmmm poleni
 
hahahah njoo ntakupa internship hapa firm kwetu angalau upate exposure ya mwaka then uingie soko la ajira..mbwembwe nyingi kumbe GPA boxer za karume kila mtu anavaa..
 
unaangukia wanakoangukia wengi?

hizo ndizo GPA wanazoangukia wengi? We iseme tu GPA yako ya m.kwere.

cwezi kuwa na gpa ka ya ****** mkuu,nadhan kwa miaka hyo miwili ukijumlisha thn ukagawa kwa 2 itasoma 3.7 kama cjakosea.
 
hahahah njoo ntakupa internship hapa firm kwetu angalau upate exposure ya mwaka then uingie soko la ajira..mbwembwe nyingi kumbe GPA boxer za karume kila mtu anavaa..

ebu weka hyo yako ya tumaini tuione.
 
umenitajia hao watu nimejisikia kusisimka.
watamkamata kweli wale sijui wapoje mmh.

lwiza (fn 307) anaweza pitika kwa semester hii inayomalizika...nae minja(ib 301) ths semester nae kuna kautata kidogo...ila mkwizu(fn301) na baisi (fn 310) next semester kuwa mwangalifu...lwiza atakuja na fn302 itakuwa ma notes nyng sana ila itapitika...so kwa finance komaa na hao finance GURU's utamaintain gpa yako!
Pga msuli wa alevel..

Dr.Daudi Lwiza siku hizi amekuwa hivi jamaani?Enzi za 92/93 mbona alikuwa poa?Nini mamemsibu?Au alivyounguzwa uso na mke wake ndo hasira anamalizia kwa wanafunzi wake nini?mmmm poleni
Dah! JF ni zaidi ya uijuavyo! Kumbe UD mpo wengi kiasi hiki? Mbona hamkutokea kwenye sherehe za miaka 50 ya chuo chetu?
 
Dah! JF ni zaidi ya uijuavyo! Kumbe UD mpo wengi kiasi hiki? Mbona hamkutokea kwenye sherehe za miaka 50 ya chuo chetu?

Tupo mbali wengini.Wewe unapajua Tanganyika Masagati mpaka Dar ni Km ngapi?Ndo maana hatukuja alafu siku hizi UDSM sio ya enzi hizo kila kitu vuluvulu.
 
GPA inamata huku kitaa. Uwakika ukiwa 3.8 angalau hautabika saa, labda kama una m2. Ila na bahati inahusika. Mwombe Mungu. Mwambie Dr.chijoliga aache kuban hayo ma Gpa.

we si ndo ulikuwa unasema una module E ya NBAA? ilikuwaje?
 
hahahah njoo ntakupa internship hapa firm kwetu angalau upate exposure ya mwaka then uingie soko la ajira..mbwembwe nyingi kumbe GPA boxer za karume kila mtu anavaa..

Acha dharau wewe..kwani rais wa taifa lako unadhani GPA yake hapo mlimani ilikuwa ngapi? Ukisikia unaitwa Ikulu usawa huu ushuzi utakutoka kwa mchecheto na kwa taarifa yako GPA yake ni chini ya boxer zako za karume. GPA sio mwisho wa kila kitu!
 
Jaman ndugu zangu,me ndo namalizia kadegree kangu ka biashara hapa mwaka huu.naomben mniambie market ya hii kitu ikoje huko sokoni.over
Umechelewa kuuliza hili swali. ulitakiwa kuuliza kabla ya kuanza hiyo degree. Tukikwambia market yake ni mbaya utafanyaje? wewe KAZANA kusoma umalize shule ili upate GPA nzuri ili ikiwezekana ufanye na masters kabisa
 
kama uko nondo kwenye aptitude tests na oral interviews try the big 4 huwa wana recruit graduates every year
 
Hahahahahahaha wewe ndio ulikua unazalau nyuzi moja ya mleta mada juu ya walimu?? Kumbe hata degree haujamaliza,ok mie nikushauri sasa endelea kujenga mazingira mazuri na watu waliopo makazini hivi hivi inakua ngumu kwani kuna jamaa yangu kamaliza PSPA hapo kwenu lakn sasa anafanya kazi ya uhasibu so usichague kazi ukimaliza chuo mengine baadae
We unajua maana ya uhasibu? Huwezi kusoma poitical science ukawa Mhasibu. Taabu yenu mtu yeyote anaye-handle pesa mnamuita mhasibu. Huyo ni cashier/mtunza pesa siyo mhasibu. Uhasibu is a spcialised profession. Hata ukipata degree ya Bcom accounting bado wewe siyo mhasibu.
 
Umechelewa kuuliza hili swali. ulitakiwa kuuliza kabla ya kuanza hiyo degree. Tukikwambia market yake ni mbaya utafanyaje? wewe KAZANA kusoma umalize shule ili upate GPA nzuri ili ikiwezekana ufanye na masters kabisa

mkuu,nadhan unajua hadi kufikia mwaka 2009 bcom ilikua ndio hot course,so vijana wengi 2lokua tunamalza form 6 tukawa tunaikimbilia pasipo kujua demand yake ikoje huko sokon...ila sa hzi nkiangalia graduates wa hii kitu walioko huko mtaani na hawana ajira,napata wasiwasi sana.
 
3.5 inasoma senetor? kama hapana, jipange! Nyinyi mnaonaga UD ndo mko peke yenu duniani. ile last interview ya tra watu wa mlimani walikuwa sita tu! mana requirement ilikuwa ni upper second, watoto wa CBE na IFM na Tumaini walikuwa nyomi! ha ha ha ha poor senetor, utashangaa kukuta mtoto wa CBE anakukimbiza mchaka mchaka na Bcom yako.
. wewe huna cha kukusaidia zaidi ya kazi ya TRA. kama una upper second njoo nikuajiri ktk biashara zangu ili ukae DSM. kumbe ndo maana hata auditing firm kubwa kama KPMG, E&Y, PWC hamuonekani. rafiki umechelewa, GPA inasaidia sana ila GPA sio kuwin maisha. ukija Masaki, majirani zetu wote hamna mwenye GPA ya 3.
 
Market ipo mdau ila unatakiwa uwe una cheti cha bodi ya nbaa .......cha cpa ili uweze kutambulika kama huna hii
kitu jiandae kufundisha tution za sekondali
 
Back
Top Bottom