OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,689
- 9,342
Habari wakuu,
Napenda kuuliza mambo yafuatayo:
1. Bei ya chumba cha kupanga inaanzia Tsh ngapi (chumba cha kawaida, chumba chenye tiles, chumba chenye choo ndani n.k)
2. Kilo moja ya mchere ni Tsh ngapi huko?
3. Kilo ya Unga ni Tsh ngapi huko?
Juzi nimetembelea wilaya ya Kahama vyumba vya kupanga vinaanzia Tsh 20,25 impaka 30 elfu
Kilo ya mchele Tsh 900 mpaka 1200
Kilo ya Nyama ni Tsh 7,000
Nawasilisha