Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,662
Sijaelewa
Ntasahau vyote ila nitamkumbuka aliyeniumba, na daily ntakaa mkao wa pushup kama umbwa.."Ukiacha hisia zikuendeshe, kwa ujeuri utaishia kufeli
Sababu neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli"
Ni moja ya mstari kwenye nyimbo ya Fid Q
mambo Cutemam kuna cku nili ku pm hata huja replyHivi alikuacha baada ya kugundua una mimba au kabla ya mimba alkua hakutak tena kama ni baada ya mimba bac lea mimba yako na mtoto wako hata kwa shida usimuulze mm namuombea asizae mtoto tena maisha yke yote ackie maumiv ya kudharau damu yake mana watu wengi wenye akili wanachkua maamuz ya kutulia na mtu km akigundua amebeba mimba yake wakakubaliana kulea au kutoa maisha yakasonga yeye eti anakimbia f...ck him bitch[emoji82]
Sent using Jamii Forums mobile app
duh
Umeona sasa halafu mwisho wa siku watu wanakuja kuona kila singo mama ni miyeyusho.Nimekutana na mmoja, ila nimemkuta akiwa na ujauzito wa miezi miwili,sijui hili wala lile ndio akanichana kuwa jamaa aliyempa ujauzito alimchumbia kabisa sema jamaa ndio wale wenzetu ubabe ubabe,wakuburuza wanawake mpaka basi sasa binti kavumilia kaona hiyo ndoa bado anakutana hizo mambo, sasa anajiuliza huko ndoani itakuwaje, katika uchunguzi, jamaa yuko around 40 afu haeleweki na pia kumbe hii ya kutoa barua na kuishia kati kashaifanyaga hata huko siku za nyuma.
kwenye ule ubabe ubabe anamwambia demu kuwa mimba pia sio yake.....demu kaona isiwe shida kaamua uchumba uvunjwe, matokeo sasa jamaa na familia yake ndio kidizaini kama wana suffer kumbembeleza demu arudi ila huyu demu hataki, anadai kashaletwa kejeri na dharau sana, yaani anajitayarisha kulea mtoto wake mwenyewe,....nimemchunguza na kuangalia hustle zake nimeona ni mtu anayeyajua maisha haswa, maana kajiendeleza diploma, kapiga kazi zile out of alichosomea kauza duka, kapitia pitia sehem kadhaa za kazi mpaka alipo sasa.
Alexander
Dah. Huu ushauri wako namimi nimeusikia leo. Kuna rafiki yangu yeye ana Mke wake, ila amempa ujauzito mchepuko. Sasa huyo mchepuko amekuja kwangu analalamika kuwa rafiki yangu amemuacha na kuamua kubaki na mke wake. Huyu Dada anajiapiza kuwa atatafuta Mganga wa kienyeji ili amroge mtu, maana ujauzito unakaribia miezi minne.Tafuta Mganga mloge...
Nicheki PM.
Watu kama hao si wa kuwaacha waendelee furahia maisha.
Mzee naona unaonyesha experience yakoDah! Pole sana maumivu uliyo nayo nayaelewa.
Pole mno c* ila hayo nimoja yachangamoto ktk maisha yamausiano, ivyo be strong like mother.Jamani machungu yangu hayaelezeki, hii naomba mjifunze hata nyie mlioko kwenye mahusiano. Usizae kama hujafunga ndoa yamenikuta naitwa single mother sasa hivi bila kupenda mwanaume alinionesha kunipenda na kunipa moyo ipo siku anaweza ishi na mimi lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa na nilivyotegemea.
Niliacha kazi yangu iliyonipa kipato japo kilikuwa kidogo kilitosha nikaacha kazi yangu kwenda shule kuongeza elimu mana niliona kwa level yake ilibidi na mimi nijiongeze kidogo!
Ndugu yangu mwanaume sio ndugu yako sasa hivi kaniambia nisimtafute ana mahusiano yake, naumia nimeishiwa nguvu kabisa hata za kwenda shule tena.
Huwezi kuchora graph kutumia point moja tu. Lazima uwe na point zaidi ya mbili ndipo uchore graph! Huyu ALEX_ANDER ni limbukeni tu, unasimliwa na muhusika sifa zake unalewa! Naye ana mabaya yake usimsifie bila kufanya uchunguziUmeona sasa halafu mwisho wa siku watu wanakuja kuona kila singo mama ni miyeyusho.
Sasa kwa mwanaume anayetafuta mwanamke akili unafikiri atamuacha!hamwachi aise..
Cha kwanza, badilisha hilo jina la mrembo...hili jina linaashiria mengi. Cha pili usimtafute tena, fanya yako kama sio wewe vile...yaani badilisha life style (iwe bora kabisa). Cha tatu, ni kweli kuzaa kabla ya ndoa ni kitanzi. Ahsante kwa kuwatahadharisha wengine. Mungu akupe nguvu mpya.Jamani machungu yangu hayaelezeki, hii naomba mjifunze hata nyie mlioko kwenye mahusiano. Usizae kama hujafunga ndoa yamenikuta naitwa single mother sasa hivi bila kupenda mwanaume alinionesha kunipenda na kunipa moyo ipo siku anaweza ishi na mimi lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa na nilivyotegemea.
Niliacha kazi yangu iliyonipa kipato japo kilikuwa kidogo kilitosha nikaacha kazi yangu kwenda shule kuongeza elimu mana niliona kwa level yake ilibidi na mimi nijiongeze kidogo!
Ndugu yangu mwanaume sio ndugu yako sasa hivi kaniambia nisimtafute ana mahusiano yake, naumia nimeishiwa nguvu kabisa hata za kwenda shule tena.