Kwa waliopo kwenye mahusiano...

Kwa waliopo kwenye mahusiano...

Jamani machungu yangu hayaelezeki, hii naomba mjifunze hata nyie mlioko kwenye mahusiano. Usizae kama hujafunga ndoa yamenikuta naitwa single mother sasa hivi bila kupenda mwanaume alinionesha kunipenda na kunipa moyo ipo siku anaweza ishi na mimi lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa na nilivyotegemea.

Niliacha kazi yangu iliyonipa kipato japo kilikuwa kidogo kilitosha nikaacha kazi yangu kwenda shule kuongeza elimu mana niliona kwa level yake ilibidi na mimi nijiongeze kidogo!

Ndugu yangu mwanaume sio ndugu yako sasa hivi kaniambia nisimtafute ana mahusiano yake, naumia nimeishiwa nguvu kabisa hata za kwenda shule tena.
Pole Sana many
Mungu atakupa wa kwako..Huyo hakukupenda.
Mpende mwanao,mlee vzuri..kila kitu hutokea kwa sababu maishani.
Mshukuru Mungu kwa yote
Ila atakapokuja mwanaume mwingine usikubali kuzaa kabla ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani machungu yangu hayaelezeki, hii naomba mjifunze hata nyie mlioko kwenye mahusiano. Usizae kama hujafunga ndoa yamenikuta naitwa single mother sasa hivi bila kupenda mwanaume alinionesha kunipenda na kunipa moyo ipo siku anaweza ishi na mimi lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa na nilivyotegemea.

Niliacha kazi yangu iliyonipa kipato japo kilikuwa kidogo kilitosha nikaacha kazi yangu kwenda shule kuongeza elimu mana niliona kwa level yake ilibidi na mimi nijiongeze kidogo!

Ndugu yangu mwanaume sio ndugu yako sasa hivi kaniambia nisimtafute ana mahusiano yake, naumia nimeishiwa nguvu kabisa hata za kwenda shule tena.
Pole sana
 
Mama ndo kwanza maisha yameanza, face the reality.
If you focus on the hurt, you will continue to suffer. If you focus on the lesson, you will continue to grow.
 
Back
Top Bottom