Cutemam
Member
- May 2, 2020
- 90
- 149
Nimeomba msamaha hadi nimechoka anasema nisitume text atasoma mpenzi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huyo ni mwanaume mshenz sana anawezaj kukujbu hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeomba msamaha hadi nimechoka anasema nisitume text atasoma mpenzi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂Tuma namba ya mganga tukomeshe watu
Kwakifupi haeleweki point yake hasa ni niniSasa kilio chako ni huo usingle mama au kuachwa na jamaa?
Tafuta mwingine maisha yasonge....au huwezi ku move on ?
Wewe ishi maisha yako bwanaUsingle maza unauma najisikia aibu mtaa ninaoishi mana hakuna aliyekuwa hajui mahusiano yetu inauma sana kazi niliacha saizi mood ya kusoma imepotea kwajili ya kuachwa ntasomaje nikienda shule nina mawazo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Siina kuwa haumuoni wala haupati notification zozote toka kwake ...
Nakazia👏👏Wewe ishi maisha yako bwana
Unajisikia aibu mtaa mzima kwani hao wanaoishi hapo mtaani kwenu hawajawahi kuachwa ...
Ukitaka kuifurahia dunia ishi kwaajili ya manufaa yako kwanza usiishi kwaajili ya watu ". Hautoweza kuwaridhisha kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Usingle maza unauma najisikia aibu mtaa ninaoishi mana hakuna aliyekuwa hajui mahusiano yetu inauma sana kazi niliacha saizi mood ya kusoma imepotea kwajili ya kuachwa ntasomaje nikienda shule nina mawazo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu..
.mnajikitaga mnazunguka weeee unakuja kukutana na mwanamke amekidhi viwango na anakili ya maisha unamsalute kumbe “singo mama”...[emoji23][emoji23]patamu hapo