Kwa waliopo kwenye mahusiano...

Kwa waliopo kwenye mahusiano...

Pole sana naomba nikupe tu ushauri urud kwa jamaa Alie kuzalisha mmalize tofaut zenu ili uolewe kwani sisi kama Wanaume tulishakubaliana kuwa "SINGO MAZA HAOLEWI* hivyo inaweza kuwa ngum sana kwako kupata mume

Sent using Gun Trigger
 
Usingle maza unauma najisikia aibu mtaa ninaoishi mana hakuna aliyekuwa hajui mahusiano yetu inauma sana kazi niliacha saizi mood ya kusoma imepotea kwajili ya kuachwa ntasomaje nikienda shule nina mawazo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna uchungu na maisha madam bali “una uchungu”na mahusiano yako.piga chini kila kitu mama piga shule.

Hapo utakuwa unajitesa tu maana keshakupiga chini tayari.mfanye ajute kwa kufanikiwa kwako
 
🤣🤣🤣😂😂😂 thubutuuu..
Pole sana naomba nikupe tu ushauri urud kwa jamaa Alie kuzalisha mmalize tofaut zenu ili uolewe kwani sisi kama Wanaume tulishakubaliana kuwa "SINGO MAZA HAOLEWI* hivyo inaweza kuwa ngum sana kwako kupata mume

Sent using Gun Trigger
.mnajikitaga mnazunguka weeee unakuja kukutana na mwanamke amekidhi viwango na anakili ya maisha unamsalute kumbe “singo mama”...😂😂patamu hapo
 
Mimi nimefunga maombi sana maisha yake aumizwe tu na yeye na uyo mwanamke atakayempata machozi yangu hayataenda bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliedhulimiwa dua yake inaenda mara moja. Muda huu tumia kujiombea wewe mambo ya Kheri. Usipoteze dua yako kumuombea mtu mabaya. Pole sana. Life goes on mamiloo utamsahau , utapata bwana mwingine mtapenda sana mtashibana vya kutosha na yeye atakuumiza! ndo mzunguko wa maisha [emoji23][emoji23]. Tunasema Aluta Continua! Mapambano lazima yaendelee

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuu..

.mnajikitaga mnazunguka weeee unakuja kukutana na mwanamke amekidhi viwango na anakili ya maisha unamsalute kumbe “singo mama”...[emoji23][emoji23]patamu hapo
Singo mama HAOLEWI huwa analiwa tu ukimuowa umeowa mke wa mtu jiandae kuisha kwa mateso

Sent using Gun Trigger
 
pole sana selina mrembo, assume huyo kwako ni sperm donner then muandalie mazngra mazuri mwanao huenda akawa diamond wa kesho yako akakufariji
 
Jina la Selina linankumbusha chenja za jeshin

Kwa ushauri tu jaribu kuwa bize kidogokidog japokuwa sio rahic Ila kaza moyo at the end utamsahau
 
Back
Top Bottom