prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 190
Hv malipo ya karani wa sensa na karani mwandamizi ni sawa?
kumi na tano kwa siku, so zidisha mara siku 7
kumi na tano kwa siku, so zidisha mara siku 7
Kutoa majina ya waliopata nafasi za sensa itakuwa ni ijumaa trh 3/8 kwenye ofisi za kata
Duh ijumaaa mbbona mbaliiiiii
Sasa Ijumaa mbali kivipi wakati kazi aianzi siku hiyo, badala
yake mnaanza na semina tar 06/082012" Haraka ya nini mkuu?
Itakuwa vema kama utaenda kuulizia kwa mtendaji wa mtaa wako, ulikofanyia application ndio watakao kuwa na validy information
Itakuwa vema kama utaenda kuulizia kwa mtendaji wa mtaa wako, ulikofanyia application ndio watakao kuwa na validy information
Kwani anayehusika akiona bango akajibu haitakuwa valid information?
Kata ipi mkuu? Kama wakipandika tujuze nasi tujaribu kwenda sijui huku moshi wanabandika lini
huku dar, mbezi kata ya kawe, yametoka majina kama 400 na kitu, 2meambiwa kesho twende saa 1 na originals kwa ajili ya usaili, sasa sielewi usaili tena jaman wakati semina zinaanza j3.
Ebwana hiyo kali usaili tena? Ngoja na sisi tuangalie huku kwe2
Kwahyo majina yanabandikwa kata?kule zilipokusanywa?
jaman vip tayar wamebandika mana huku kihae hae
Wakuu kwa aliyepo dar kata ya makongo vp wameshatoa!mana wengine 2po mbali kdogo na eneo 2julishane.
kuwa dar sio tatizo, tatizo ni kujua kama kata yako wametoa au lah.
Nenda 2 kacheki mwenyewe au kama una ndugu mtume, kata ya kawe wametoa leo so nina imani kata mbalimbali kwa dar watakua wametoa..hususan manispaa ya kinondoni.