kwa walioomba kazi ya muda ya sensa

Sasa Ijumaa mbali kivipi wakati kazi aianzi siku hiyo, badala
yake mnaanza na semina tar 06/082012" Haraka ya nini mkuu?

Watu tunataka kuangalia upande mwngn wa shiling kama huku itashindikana.....so ts beter kujua mapema mana cz mi nlijua majina wanatoa tar30
 
Itakuwa vema kama utaenda kuulizia kwa mtendaji wa mtaa wako, ulikofanyia application ndio watakao kuwa na validy information

hii lazima ichakachuliwe pia, watapeana ndugu kwa ndugu ngoja muone!!!!
 
Ni bora bodi ya sensa ikatangaza hadharani malipo sensa ni shilingi ngapi kwa siku ili kuepuka uchakachuaji wa baadhi ya watakaokabidhiwa majukumu ya kuwalipa makarani.
 
NiKo KATA YANGU, NIMEAMBIWA WANABANDIKA MAJINA AFTER TEN MINUTES, NDO NANGOJEA.
 
Kata ipi mkuu? Kama wakipandika tujuze nasi tujaribu kwenda sijui huku moshi wanabandika lini
 
Kata ipi mkuu? Kama wakipandika tujuze nasi tujaribu kwenda sijui huku moshi wanabandika lini

huku dar, mbezi kata ya kawe, yametoka majina kama 400 na kitu, 2meambiwa kesho twende saa 1 na originals kwa ajili ya usaili, sasa sielewi usaili tena jaman wakati semina zinaanza j3.
 
Ebwana hiyo kali usaili tena? Ngoja na sisi tuangalie huku kwe2
huku dar, mbezi kata ya kawe, yametoka majina kama 400 na kitu, 2meambiwa kesho twende saa 1 na originals kwa ajili ya usaili, sasa sielewi usaili tena jaman wakati semina zinaanza j3.
 
Wakuu kwa aliyepo dar kata ya makongo vp wameshatoa!mana wengine 2po mbali kdogo na eneo 2julishane.
 
Wakuu kwa aliyepo dar kata ya makongo vp wameshatoa!mana wengine 2po mbali kdogo na eneo 2julishane.

kuwa dar sio tatizo, tatizo ni kujua kama kata yako wametoa au lah.

Nenda 2 kacheki mwenyewe au kama una ndugu mtume, kata ya kawe wametoa leo so nina imani kata mbalimbali kwa dar watakua wametoa..hususan manispaa ya kinondoni.
 
Ingawa hujasema kama umepata m nakupa hongera,maana maongezi yanaonesha umepata,sasa wanabandika kwa pamoja au kwa mtaa?
kuwa dar sio tatizo, tatizo ni kujua kama kata yako wametoa au lah.

Nenda 2 kacheki mwenyewe au kama una ndugu mtume, kata ya kawe wametoa leo so nina imani kata mbalimbali kwa dar watakua wametoa..hususan manispaa ya kinondoni.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom