Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,842
Majina ya walioomba sensa ni aibu tupu, mmekaa na majina mda mrefu mkisema mnahakiki kwa umakini lakini cha ajabu huyu mtu kajitokeza kwenye ukarani wa sensa tena kajitokeza kwenye usimamizi wa maudhui, je huyu mtu aliombaje nafasi mbili tofauti kwa majina hayohayo. Halafu ndomnasema jobless wataharibu kazi, ehe vipi nyinyi kutoa jina moja nafasi mbili tofauti mko sahahihi?
Huyu kijana kajitokeza namba nane kwenye usimamizi wa maudhui, tena kajitokeza namba 24 kugombania ukarani. Ili akikosa kwenye maudhui atapata ukarani. Ngoja tuone mwisho wake.
Picha zinajieleza.
Huyu kijana kajitokeza namba nane kwenye usimamizi wa maudhui, tena kajitokeza namba 24 kugombania ukarani. Ili akikosa kwenye maudhui atapata ukarani. Ngoja tuone mwisho wake.
Picha zinajieleza.