Kwa waliooa tu: Je, ni kweli ndoa bila michepuko haiendi?

Kuna mwanandoa mmoja anasema " oa ili ujue kwanini unahitaji mchepuko " hakuna watu malaya kama waliooa.kama kabla ya ndoa ulikuwa una wanawake wawili basi ukioa utakuwa na wanawake wanne.Mliooa mnafeli wapi?....Uzi tayari
Oeni katika wanawake mnaowapenda wawili, watatu au wanne na kama mtakhofia kutofanya uadilifu basi mmoja - Quran.
 
Back
Top Bottom