Kwa waliooa tu: Je, ni kweli ndoa bila michepuko haiendi?

Hapana epuka kabisa kaa katika ndoa yako na jiepushe na vishawishi kila mara unapopita katika majaribio ni sehemu ya maisha, ukiona katika ndoa yako unachepuka na mke wala hakushtukii basi ujuwe na mke wako anachepuka. Stay katika ndoa na tumia nguvu kubaki katika uaminifi utaishi na amani sana. Sitaki kuongelea sijui kuna magonjwa hilo sio muhimu usitumie hiyo sababu inakuwa kama inahalalisha. niamini mkiweza kwa dhati kabisa kuheshimu ndoa yenu basi amani ya nafsi itatawala majaribio ni mengi huko nje lakini jiulize huyo wa nje angekuwa wa maana sana siangekuwa na wa kwake.
 
Kuna kipindi hawa Jinsia Ke, wanapoteza hamu ya Tendo, hasa baada ya kuzoeana sana na mwenza wake na kipindi tayar ameshapata mtoto na majukumu ya kifamilia yamemuelemea.
Ndo apo kidume umetoka kazin unategemea upate faraja kwa mwenza lakin unaambulia kusukumwa na neno Nimechoka acha nipumzike.
Michepuko lazima uitafute....
 
Ngoja kwanza ajifungue kama round mbili hivi aanze kunenepa hovyo awe na kitambi aanze kujali na kupenda watoto wake hamu ya sex kwake ipungue kabisa uanze kunyimwa gemu

Ndo utaelewa kwa nini ni muhimu
 
Back
Top Bottom