Kwa waliolewa au tambulisha wachumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliolewa au tambulisha wachumba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Jun 29, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ilikuwa furaha bin happy siku nilipompeleka mchumba kwa utambulisho kwetu.

  Wana JF kwenu ilikuwaje?
  [​IMG]
  29th June 2011 12:40 PM Familia ilivyoshangilia siku nilipompeleka kwetu mchumba.jpg
   

  Attached Files:

 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Bado yote.
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kikwelikweli au mzaha?
  hata kipindi ukiwa sec/chuo hukutambulisha kwa masosti zako?
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  hyo ya mashosti haina nguvu bwana.
   
 5. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Utakuta caretakers wa hiyo family yote ni huyo kokoo na huyo maza. Sasa hayo majukumu yanahamia kwako. Hapo unayo timu ya mpira na reserve.
  Kazi kwako.
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0

  wewe ni mwanaume?
  yees bas ukishaoa ITAKUWA VYEMA SANA KM UKIHAMIA UKAENDA KUISHI NA I FAMILIA YAKO...:bange:
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hongera sana!
   
 8. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 580
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe ni yupi hapo? Huyo aliyenyoosha mikono juu au wa mwisho kulia?
   
 9. A

  Aine JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,615
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wewe ni yupi hapo, na mchumba wako ni yupi hapo? na mbona sioni wazee akina mama na baba waliopokea wageni? yaani hao watoto na bibi ndio walipokea mchumba? Anyway, ni siku ya furaha saana kwa wahusika na wazazi
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mwisho kulia
   
Loading...