Kwa waliokosa Mikopo Heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliokosa Mikopo Heslb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Motisha kwa Watz, Sep 20, 2012.

 1. M

  Motisha kwa Watz Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polen sana ndg zangu kwa mliokosa mikopo,lkn nataka kuwaambia kwamba kamwe msikate tamaa kuna altenative nyingi;
  kwanza,unaweza kutafuta taasisi zingine za serikali au binafsi na kuomba wakudhamin kukusomesha,
  Pili,unaweza ukakata rufaa mara tu baada ya kuripoti chuon,au ukasoma mwaka wa kwanza hvyohvyo ukajaomba kwa mwaka wa pili na kuendelea!
  Lkn pia unaweza ahirisha mwaka na kuomba upya mwakan kwa coz zenye priority na ukapata!
  Wapo wengi waliotumia njia hzo na sasa wapo chuo kikuu km kawa na wanaramba boom.
  Uckate tamaa ukataman hata kunywa sumu,MUNGU yu pamoja nawe pambana hadi mwisho!
   
 2. M

  Motisha kwa Watz Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Take it easy best!
   
 3. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thats nice ila kuna watu wako makini sana kwa kuwakatisha wenzaao tamaa kwa kweli ! eti hautopata hata ukikata rufaa
   
Loading...