Kwa waliohamia Dodoma lakini bado wapweke tukutane hapa

Kwa waliohamia Dodoma lakini bado wapweke tukutane hapa

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
2,233
Reaction score
2,161
Wadau
Kama mnavyojua serikali imehamishiwa Dodoma...lakini wengine hatuwezi kuhamisha familia zetu huku kwa sababu mbalimbali ..na hatupendi kudandia wadangaji ingawa wapo kila kona hapa Dom...najua kuna wanawake wenye heshima zao waliohamia hapa ambao wapo wapweke hivyohivyo, naomba tuwasiliane PM ili tuyajenge... kwa walio serious tu!
 
Kuyajenga ndo nini, au unamaanisha mkutane kwa siri bila wenza wenu kufahamu afu mkale tunda la mti wa katikati, kwenye gesti au hoteli za kulala wageni na wenyeji
 
Aiseee mkuu mbona idodomya Kuna watoto shazi tena weupe wa kirangi kwanini usibebe mwenyeji?
udomo zege ni ugonjwa unawasumbua wanaume wengi,hii mitandao ya kijamii imekuja kuokoa jahazi na imekuwa mkombozi kwa wengi.
 
Kuyajenga ndo nini, au unamaanisha mkutane kwa siri bila wenza wenu kufahamu afu mkale tunda la mti wa katikati, kwenye gesti au hoteli za kulala wageni na wenyeji

Ndiyo maana yake kwa kuwa Huku nako tuna nyumba lakini zimepwaya sana....
 
udomo zege ni ugonjwa unawasumbua wanaume wengi,hii mitandao ya kijamii imekuja kuokoa jahazi na imekuwa mkombozi kwa wengi.

Pole mkuu kama na wewe ni muhanga wa hili janga la uhamaji......vumilia utazoea tu....
 
Kwahiyo na wa kule Dar uliemuacha mpweke naye vipi?kama kausoma huu uzi imekula kwako..
 
Back
Top Bottom