Mimi niliwahi kaa hotel fulani inaitwa Belle view kama sijakosea kwa muda wa kama mwaka na nusu hivi. Nilikuwa napata shida sana kwenye misosi. Msosi kule ni shida. Kuna fasf food fulani inaitwa KFC(sio Kentucky) ndipo nilipokuwa najaza tumbo. Jamaa wanapenda rushwa ajabu. Hata ukitaka exit visa bila sukree hugongewi. Na trafiki polisi wao wanakelele hao. Wanavaa helmet halafu wanaongoza magari kwa kupiga filimbi kama alivyokuwaga Majambo au wapiga sangura.
Kama ni rubumbashi jiandae na hela ya hakiba kwaajili ya mapolisi wa usalama brbrni kwani ni umiza kichwa ile mbaya ni ving'ang'anizi sana.
Pia jiandae na kulipia ushuru wa barabara kila uingiapo mkoa kwa mkoa wenyewe wana ita peash.
Lingine chakula cha huku kipo ila ukiwa hapo kisanga ndo utapata cha kibongo ila ukiwa mroho kule utakula panya,wadudu dizain ya washawasha,nyani huta kula kwani bei sana kuliko nyama ingine.
Pia matapeli ni wengj sana kuliko unavyo zani,pia mwanamke kule sumu utaliwa pesa bure.
Tatizo chakula..!kupata chakula kizuri ni shida mnoo!
si unajua kaka tukishazeeka hata nguvu za kutafuta zinaisha. karibu mombasa mkuu
Nipe deal ya hiriki mkuu falcon mombasa hapa nilipo nawezapata mzigo wa maana.
umenunua kwa sh ngapi kwa kilo ,kama vp ni pm
tatizo la wabongo hatuko serious ktk masuala ya msingi,Mombasa sihami bali nataka kujitanua kibiashara zaidi na zaidi.ni utaratibu niliojiwekea kila baada ya miezi mitatu nasafiri mji ambao sijawahi kufika ili nijifunze mambo mengi zaidi. kwa mfano after kongo napenda kwenda madagascar
vipi gharama za hotel au lodge
Mombasa hakulipi?? Kinshasa kila mtu kajichubua kule si mwanamke wala mwanaume, jaribu kuangalia soko sehemu zingine.