Kwa walio maeneo ya mjini posta kuna ngurumo kubwa imepita angani ni nin?

We are testing our fighters Sukhoi SU-MKI and Rockheed Martin Raptor F-22 for Show on 9 December.

Also we are testing our Apache.AH-64 Helicopters provided as msaada by US Government.

Hivi tunazo Apache...!?? mi nadhani tunazo MIG tu zile tulizomtisha nazo Amin..
 
Ni kwamba hapa Jf, kuna waheshmiwa wengi , wana upeo wa kujua Jamii forums iko Dar tu! Jiulize!
Mf. Mie hapa naandika hii comment niko njiani Kigali na Kesho nitakua Uvira - Drc .
Btw somebody anavundumka anauliza muungurumo Posta - mjini , kila mji una Posta mjini.
Mji gani wenye Posta porini ?

msalimie kageme
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona unauliza leo au leo ndio ulikuwa posta, zimeanza muda sasa kusikika zikipitapita.
 
Back
Top Bottom