Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Good night!
Hata nikiwa 'busy', ikitokea nimeangalia juu na kuuona moshi mweupe unaoachiliwa na 'dege' kubwa angani, huwa nafurahi mno na ku 'appreciate' teknolojia na ubunifu uliofanywa na wahandisi kutengeneza ndege.
Ila pia mawazo yanakwenda mbali na kujiuliza maswali, teknolojia ya kutengeneza ndege kubwa kubwa namna hii ni nani wameishikilia (wameihodhi)? Je, Tanzania tunayo? Kwa nini?
Nini kipo nyuma ya siri ya kutengeneza 'madege' makubwa? Sisi tutaweza lini? Tatizo ni mizaha mingi hata kwenye mambo 'sensitive' au ni nini?
Je, tatizo ni ulaji wa sembe wa muda mrefu uliopelekea udumavu wa akili?
Hawa waliohodhi teknolojia kubwa kubwa ni binadamu kamili au ni mchanganyiko? Na ni wapi na katika vitu gani wanahifadhi hizo teknolojia?!
Naomba mnisaidie.
Mganga hajigangi.
NB: Maneno ndani ya funga semi si rasmi au ni ya lugha ya kiingereza.