Kwa walio maeneo ya mjini posta kuna ngurumo kubwa imepita angani ni nin?


M

MPUNGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
840
Likes
360
Points
80
M

MPUNGA

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
840 360 80
kUNA NGURUMO KUBWA SIJUI NI YA DEGE GANI IMEPITA ANGANI KUNA ANAYEWEZA KUTUJUZA NI NINI HICHO? KEREN'GENDE ZA UMISOM?
 
S

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
3,084
Likes
158
Points
160
S

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2012
3,084 158 160
Chopa mazoezini
 
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
5,100
Likes
226
Points
160
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
5,100 226 160
BM52...!

...tunafanya mazoezi ya vita!
 
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,080
Likes
122
Points
160
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,080 122 160
mazoezi kwa ajili ya sherehe za uhuru nadhani
 
Leomimi

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Messages
2,526
Likes
128
Points
160
Leomimi

Leomimi

JF-Expert Member
Joined May 20, 2013
2,526 128 160
9december
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,329
Likes
4,818
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,329 4,818 280
kwa hiyo umeogopa?
 
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Messages
3,451
Likes
3,998
Points
280
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2013
3,451 3,998 280
kwa hiyo umeogopa?
taarifa za kiintelijensia zinasema si tu kwamba ameogopa bali pia gogo limegusa boxer lina ning'inia!
 
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
515
Likes
7
Points
35
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
515 7 35
kUNA NGURUMO KUBWA SIJUI NI YA DEGE GANI IMEPITA ANGANI KUNA ANAYEWEZA KUTUJUZA NI NINI HICHO? KEREN'GENDE ZA UMISOM?
posta ya wapi? maana kila mkoa kuna posta!
 
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
5,060
Likes
3,347
Points
280
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
5,060 3,347 280
ngurumo za upako
 
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
7,139
Likes
121
Points
160
Age
39
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
7,139 121 160
Choper hizo kwa ajiri ya sherehe 9dec mkuu.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,643
Likes
5,064
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,643 5,064 280
dogo yaonyesha mgeni mjini....?
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,356
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,356 80 145
posta ya wapi? maana kila mkoa kuna posta!
Ni kwamba hapa Jf, kuna waheshmiwa wengi , wana upeo wa kujua Jamii forums iko Dar tu! Jiulize!
Mf. Mie hapa naandika hii comment niko njiani Kigali na Kesho nitakua Uvira - Drc .
Btw somebody anavundumka anauliza muungurumo Posta - mjini , kila mji una Posta mjini.
Mji gani wenye Posta porini ?
 
Last edited by a moderator:
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,731
Likes
766
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,731 766 280
We are testing our fighters Sukhoi SU-MKI and Rockheed Martin Raptor F-22 for Show on 9 December.

Also we are testing our Apache.AH-64 Helicopters provided as msaada by US Government.
 
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
653
Likes
149
Points
60
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
653 149 60
kUNA NGURUMO KUBWA SIJUI NI YA DEGE GANI IMEPITA ANGANI KUNA ANAYEWEZA KUTUJUZA NI NINI HICHO? KEREN'GENDE ZA UMISOM?
Kama ni NGURUMO basi hapo itakua ni msondo wanataka kupiga show yao so usiwe na wasiwasi.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,379
Likes
31,608
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,379 31,608 280
Posta -
Mwanza na mm nimeusikila ni ndege
 
MichazPipoz

MichazPipoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
539
Likes
6
Points
35
MichazPipoz

MichazPipoz

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
539 6 35
Ni kwamba hapa Jf, kuna waheshmiwa wengi , wana upeo wa kujua Jamii forums iko Dar tu! Jiulize!
Mf. Mie hapa naandika hii comment niko njiani Kigali na Kesho nitakua Uvira - Drc .
Btw somebody anavundumka anauliza muungurumo Posta - mjini , kila mji una Posta mjini.
Mji gani wenye Posta porini ?
Heheheee swaafi
 
Last edited by a moderator:
MichazPipoz

MichazPipoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
539
Likes
6
Points
35
MichazPipoz

MichazPipoz

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
539 6 35
We are testing our fighters Sukhoi SU-MKI and Rockheed Martin Raptor F-22 for Show on 9 December.

Also we are testing our Apache.AH-64 Helicopters provided as msaada by US Government.
Classified
 

Forum statistics

Threads 1,236,166
Members 475,019
Posts 29,248,523