Kwa wale wote maspea tairi

Bazazi miss u a lot brodah!!
upo pande za wapi mbona sikuoni siku hz??
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo umeamua kunipasua live???maana naona jiwe umeamua kuliangushia kwangu 'mamito"
hapana babito, ni kiroho safi tu wallahi!, tena nimekumissijeeee?? Mtambuzi itisha kikao basi, nina hamu ya kutabasamu!
 
Last edited by a moderator:
haaaahaahaa uwiiiiii yaani nimecheka lara 1 ni n kunivunja mbavu mtt wa mwenzio lol, ila hili nalo neon.....kuna watu unawachoma humu shauri yako, u made my day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…