Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

Mid-Year Sale discount End 11 July
God of War 3 $6
GTA V $36

Na zingine nyingi wahini wadau wa PS

LILJUSTINE sio lazima utafute mastercard kwani kwa sasa kuna jamaa wanauza hizo Reedem codes za psn
ingia epic computers Tanzania. Halafu unawalipa kupitia tigo pesa then wanakutumia hizo reedem codes kwenye sms
 
LILJUSTINE sio lazima utafute mastercard kwani kwa sasa kuna jamaa wanauza hizo Reedem codes za psn
ingia epic computers tz
alaf unawalipa kupitia tigo pesa then wanakutumia hizo reedem codes kwenye sms
Kwa izo redeem codes kunakua na kama 20,000 extra cost
 
liljustine reedem code sio ps+ hapo i meant unanunua hizoo redeem codes then unaziweka ktk ps yako kama unavyoingiza vocha ktk cm yako
alaf utaenda kwenye games ps store
Mfano umenunua Codes za dollar 50 ukaenda ps store ukakuta gta 5 ni dollar 39 ukalinunua utabakiwa na dollar 19
 
Kama account yako ulichagua region ya south africa bei ni nafuu zaidi kwa games nyingi, kama saiv kuna offer ya fifa 17 wanauza rand 205 kwa ps3 na ps4 kwa rand 329. ila ukienda kwenye account zenye region ya US bei ziko tofauti.
 
Mie acount yangu ya US nilinunua fifa 17 march kwa 17 usd only sijui ilikua ofa gani cd nikaiuza kwa 100,000
Now ipo on sale kwa 15 usd
 
NJOO INBOX NIKUUZIE ACCOUNT YA PS PLUS ITAKAYOKUWEZESHA KUFATA GAMES ZA MWEZI HUSIKA BUREEE
KWA MWEZI HUU UTAWEZA KUPATA GAME KAMA
-
JUST CAUSE 3
-ASSASSINS CREED FREEEDOM CRY ----- BUREEE
------------FOR-----FREEEEEEE-----
ACCOUNT NINAZO ZAID YA 100 NAUZA ACCOUNT MOJA KWA BEI NDOGO TU SANA NJOO INBOX TUONGEE
-- ACCOUNT HIYO NITAKAYO KUUZIA NI MEMBER WA PS PLUS TAYARI.
KILA MWEZI UTAWEZA KUDOWNLOAD Games 3 kali.

hii ni kwa
ps3
ps4
ps vita

Hio subscription ya ps plus ni ya muda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…