Tukijaaliwa uhai baada ya mwaka mmoja lete mrejesho wao utaona maajabuwewe una akili sana. ushauri wako ni mzuri kwa shangaz yangu na baba yangu mdogo. wao tayari wameipokea hali na kutumia akiba yao kwenda Gairo kutafuta mashamba ili walime kilimo cha biashara (GREENHOUSE): Wamefanya hivi baada ya kubaini kwamba milango ya kisheria ni migumu kwao maana kosa la kufoji cheti LIMEHARAMISHA MIKATABA YAO YA AJIRA.
Mtu hakutarajia, anawatoto anasomesha, anamikopo benki,Nyumba kapanga mwezi ujao anatakiwa kulipa kodi mpya,
Anaishi jijini ambapo kila hatua ni pesa, Huna mradi wowote maana kazi ilikuwa ni ya uhakika hadi kustaafu.
Mungu awasaidie. Maisha yanatakiwa yaende katikati ya changamoto hii.
Ni kweli kabisa kaka na ni wachache mno watakaoweza kumudu hii hali... Kama aliyejenga kwenye hifadhi ya barabara anaweza kulipwa usumbufu (sio fidia) vp mtu aliyelitumikia taifa kwa cheti feki?Mkuu mshana jr hii kitu ni changamoto kubwa sana. Kujiajiri ni kitu kizuri lakini kwa hawa waathirika bila ya kuwa na mitaji ya kutosha miezi ya mwanzo hata miaka ya mwanzo inaweza kuleta changamoto kubwa sana katika maisha yao hata kuathiri ndoa zao na mahusiano pia.
Nawaonea huruma kusema kweli natumai kesi itayofunguliwa itawapa hawa ushindi mkubwa dhidi ya Serikali dhalimu.
ika kuna ticha mmoja hapo simsikitikii kabisa yaani hata afundishe watoto miaka 2 hawajui kusoma wala kuandika na hata kama walitoka chekechea wanajua kusoma kuhesabu na kuandika baada ya muda mfupi toka aanze kuwa fundisha huwa gojogojo ktk kusoma,kuhesabu na kuandikawaalimu wengi sana wamefyekwa
Basi wakutafute MangiMganga hafuati wagonjwa
Bora walio na umri mdogo wanaweza kujipanga upya hata kwenda shule.Fikiria umegonga 50 ulitegemea kuustafu nakufaidi mafao, jamani nyie acheni tu! Hili ni janga.Big up bro! Very encouraging words!
Wapewe tu mafao yao kwa muda waliotumikia Taifa.Ubinadamu utumike pamoja kuwa wamekosea wahurumiwe.Wengine watoto wako shule lo!Pamoja na yote, bado wanabaki kuwa watanzania, Kwa uzoefu wa watanzania zidhani kama hili lilitegemewa saana kama ilivyotokea. Kumbuka watu wa bodi ya mikopo wamepiga mkwara wa kuwatia ndani wadaiwa sugu, kuwavizia kwenye maarusi. Lakinikuna jamaa wengi tunawafahamu hawakatwi bodi lkn wafanyakazi wenzao wanakata na hawaamini kama itakuja kutokea wakamatwe. Siku wakikamatwa na kuzinguliwa nao watalia na kuona kama mshtuko.
Kikubwa Hatuwezi kutetea feki yoyote kama watanzania awe mwanasiasa au mtumishi wa Umma. Ila yakitokea haya hayawafanyi wahusika kutohurumiwa maana yanaathili jamii yao yote wakiwemo watoto. Ndio maana mkuu pale juu anajaribu kutoa mawazo ya nini wafanye.
Sio kwa mamlaka haya [emoji35] [emoji15] [emoji144]Wapewe tu mafao yao kwa muda waliotumikia Taifa.Ubinadamu utumike pamoja kuwa wamekosea wahurumiwe.Wengine watoto wako shule lo!
Sio kwa mamlaka haya [emoji35] [emoji15] [emoji144]Wapewe tu mafao yao kwa muda waliotumikia Taifa.Ubinadamu utumike pamoja kuwa wamekosea wahurumiwe.Wengine watoto wako shule lo!
[emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji817] [emoji781] [emoji779]Safi mkuu, hakika ww hukosei, safi kwa kuwapa moyo kuna maisha baada kufukuzwa kazi