Kwa wale watakaofukuzwa kazi

Kwa wale watakaofukuzwa kazi

hizi nyayo za kuelekea mbinguni zina maanisha nini, hasa kwa sisi 8000, tuelekee huko
Huko hawezi kugusa kamwe.... Ukiwatoa kwenye ajira walau watu 2000 tu wenye mafunzo kamili ya kijeshi itabidi uwe umejiandaa hasa... [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
hizi nyayo za kuelekea mbinguni zina maanisha nini, hasa kwa sisi 8000, tuelekee huko
Maranyingi picha niwekazo kwenye post zangu ni picha fikirishi zinazotoa tafsiri pana zaidi.... Zinakuwa hazina tafsiri ya moja kwa moja
 
Mkuu kinyume chake? unakumbuka zoezi la NIDA 2013 mpaka likasitishwa? jina moja watu 20 taasisi moja.
Hili zoezi lina makengeza mengi ndio maana limepoteza maana kabisa
 
Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku changamoto za maisha zikiwakabili
Rafiki huna haja ya kupaniki, kila jambo na majira yake.. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya
Ni wakati wa kusimama imara na kuanza upya, kuangalia fursa zilizopo ...kila jambo hutokea kwa sababu maalum.... Kwa wale waaminio Mungu hawezi kukufungia milango yote. Ni kiasi cha kutulia na kuona mlango wako ulipo
Ni kati ya watakaofukuzwa ndio watakuja kuwa matajiri wa baadae viongozi na hata watu wenye vipawa mbalimbali, maigizo na sanaa muziki na utunzi, wakulima wenye mafanikio na wafugaji wa kupigiwa mfano
Ni wazi ulikuwa na kitu cha ziada akilini mwako very unique cha kipekee mno.... Lakini kibarua cha utumwa wa kutumikishwa kazi nyingi zenye ujira usiokidhi mahitaji, viliminya kipawa chako cha biashara
Cha kilimo
Cha muziki
Cha sanaa mbalimbali
Cha ufugaji
Cha ubunifu mbalimbali
Cha uandishi na utunzi
Fursa imekuja sasa itumie vema, ni wakati wako sasa.. Hutakuwa tena na majuma yenye kuchosha.... Kudamka alfajiri na kukimbizana na muda uwahi kibaruani
Hutakuwa tena na woga wa makaripio na manyanyaso ya bosi mkorofi
Hutakuwa tena na Jioni zenye kuchosha kutokana na kazi tele za mchana kutwa
Wewe sasa ni mpya
Wewe sasa ni mshindi na si mshindwa... Simama imara uondoke kesho yenye matumaini furaha na mafanikio inakusubiri
Ondoka sasa kwa kujiamini
At last your bright future is here.... Dreams can come true
Stay strong and focused

Jr[emoji779]

Leo kweli umekuwa muungwana hongera kwa ushauri mzuri. Nakuomba siku zote uwe hivi .... MUUNGWANA!!!
 
Leo kweli umekuwa muungwana hongera kwa ushauri mzuri. Nakuomba siku zote uwe hivi .... MUUNGWANA!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
hili jambo linapaswa kutazamwa kwa jicho la hekima na saburi
Nakubaliana na wewe 100% ila kuna wenzetu hawatambui hilo wao wanataka eti na wakuu wa wila,wabunge na RC wahakikiwe.Hivi ukuu wa Mkoa nayo kazi ya maana kuliko mwalimu au nesi
 
Japo mada haijajikita kwenye jinai na uzembe kazini

Sikia mshana jr, kama umewahi kwenda katika idara yeyote ya serikali kutafuta huduma na ukakuta uozo uliokuwepo pale wala usingekuwa na huruma na hao wapuuzi waliofukuzwa kazi. Wale watu walikuwa very incompetent, walizorotesha sana huduma kwa sababu walikuwa hawajuwi wanafanya nini. Bongo fleva haitakiwi kuwa na talent, unatengenezewa tu beats na kutia sauti ndiyo kazi itakayowafaa hawa vihiyo.
 
Mmh ila ni post inayoenda mbali zaidi bila kuangalia jinai na uzembe wao kazini... Nilichojaribu kufanya ni kutoa mwanga wa nini cha kufanya baada ya termination
 
Mmh ila ni post inayoenda mbali zaidi bila kuangalia jinai na uzembe wao kazini... Nilichojaribu kufanya ni kutoa mwanga wa nini cha kufanya baada ya termination

Sawa, ila wale watu inabidi wachukuliwe hatua kali sana.
 
Back
Top Bottom