Kwa wale watakaofukuzwa kazi

Kwa wale watakaofukuzwa kazi

Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku changamoto za maisha zikiwakabili
Safi kabisa mkuu, hizi ndiyo motivations nazipenda na kuzifuata humu, maisha sio kutumikishwa tu, waweza kujiajiri baada ya kujiangalia ulipo, uwezo wako, umefanikiwa wapi na future ya familia yako itaelekea wapi, bila kusahau kuyaongea na mama watoto kama yupo, binadamu huwa tunajidharau na kutokujiamini sana, hasa tunaopenda kutokuonekana kama tumefulia wakati tunajipanga, yahitaji utulivu focus na concentration tu, twaweza fanya lolote lile kwa kujiajiri na likatuletea maendeleo maishani..[HASHTAG]#hapakazituu[/HASHTAG] tupambane..
 
Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku changamoto za maisha zikiwakabili
Rafiki huna haja ya kupaniki, kila jambo na majira yake.. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya
Ni wakati wa kusimama imara na kuanza upya, kuangalia fursa zilizopo ...kila jambo hutokea kwa sababu maalum.... Kwa wale waaminio Mungu hawezi kukufungia milango yote. Ni kiasi cha kutulia na kuona mlango wako ulipo
Ni kati ya watakaofukuzwa ndio watakuja kuwa matajiri wa baadae viongozi na hata watu wenye vipawa mbalimbali, maigizo na sanaa muziki na utunzi, wakulima wenye mafanikio na wafugaji wa kupigiwa mfano
Ni wazi ulikuwa na kitu cha ziada akilini mwako very unique cha kipekee mno.... Lakini kibarua cha utumwa wa kutumikishwa kazi nyingi zenye ujira usiokidhi mahitaji, viliminya kipawa chako cha biashara
Cha kilimo
Cha muziki
Cha sanaa mbalimbali
Cha ufugaji
Cha ubunifu mbalimbali
Cha uandishi na utunzi
Fursa imekuja sasa itumie vema, ni wakati wako sasa.. Hutakuwa tena na majuma yenye kuchosha.... Kudamka alfajiri na kukimbizana na muda uwahi kibaruani
Hutakuwa tena na woga wa makaripio na manyanyaso ya bosi mkorofi
Hutakuwa tena na Jioni zenye kuchosha kutokana na kazi tele za mchana kutwa
Wewe sasa ni mpya
Wewe sasa ni mshindi na si mshindwa... Simama imara uondoke kesho yenye matumaini furaha na mafanikio inakusubiri
Ondoka sasa kwa kujiamini
At last your bright future is here.... Dreams can come true
Stay strong and focused

Jr[emoji779]
Mpaka 2025, watanzania wengi watakuwa wanajitambua!
JPM atakumbukwa daima!
 
Safi,pitia historia ya mwanzilishi wa KFC ndo utaelewa yaliyoandikwa hapo juu
 
Broo, mida fulani unakuwaga vizuri sana na nyuzi zako!
Big up!
 
Ingekuwa uwezo wangu wangesamehewa na kupewa adhabu. Maana kama mtu amefanya kazi miaka 20 amekuwa mtaalam kuliko aliyemaliza masters
 
Feb.24.17.Magufuli.A.Bull_.in_.China_.a.shop_-1024x723.jpg
Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku changamoto za maisha zikiwakabili
Rafiki huna haja ya kupaniki, kila jambo na majira yake.. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya
Ni wakati wa kusimama imara na kuanza upya, kuangalia fursa zilizopo ...kila jambo hutokea kwa sababu maalum.... Kwa wale waaminio Mungu hawezi kukufungia milango yote. Ni kiasi cha kutulia na kuona mlango wako ulipo
Ni kati ya watakaofukuzwa ndio watakuja kuwa matajiri wa baadae viongozi na hata watu wenye vipawa mbalimbali, maigizo na sanaa muziki na utunzi, wakulima wenye mafanikio na wafugaji wa kupigiwa mfano
Ni wazi ulikuwa na kitu cha ziada akilini mwako very unique cha kipekee mno.... Lakini kibarua cha utumwa wa kutumikishwa kazi nyingi zenye ujira usiokidhi mahitaji, viliminya kipawa chako cha biashara
Cha kilimo
Cha muziki
Cha sanaa mbalimbali
Cha ufugaji
Cha ubunifu mbalimbali
Cha uandishi na utunzi
Fursa imekuja sasa itumie vema, ni wakati wako sasa.. Hutakuwa tena na majuma yenye kuchosha.... Kudamka alfajiri na kukimbizana na muda uwahi kibaruani
Hutakuwa tena na woga wa makaripio na manyanyaso ya bosi mkorofi
Hutakuwa tena na Jioni zenye kuchosha kutokana na kazi tele za mchana kutwa
Wewe sasa ni mpya
Wewe sasa ni mshindi na si mshindwa... Simama imara uondoke kesho yenye matumaini furaha na mafanikio inakusubiri
Ondoka sasa kwa kujiamini
At last your bright future is here.... Dreams can come true
Stay strong and focused

Jr[emoji779]
 
Ukisikia NA TUSHUKE TUWAVURUGIE USEMI ndo hii.hii watu walikua wapo BABELI na sasa wanashuka chini baada ya kuvulugiwa usemi wao,ngoja waliokidhi vigezo wapande juu na wao maana wamekua wakilalamikia ajira kilaa kukicha
 
Hivi kwa mtu ambaye hakutarajia,najiuliza kwa nini kipind cha uhakiki alidiriki kuweka copy ya cheti ambacho anajua wazi ni cha kufoji? Kwa nini hakuacha,niko najiuliza tu hapa.na kama aliweka copy ya chet ambacho ni forgery...je,hakutegemea kutokea haya yanayo tokea?
Pamoja na yote, bado wanabaki kuwa watanzania, Kwa uzoefu wa watanzania zidhani kama hili lilitegemewa saana kama ilivyotokea. Kumbuka watu wa bodi ya mikopo wamepiga mkwara wa kuwatia ndani wadaiwa sugu, kuwavizia kwenye maarusi. Lakinikuna jamaa wengi tunawafahamu hawakatwi bodi lkn wafanyakazi wenzao wanakata na hawaamini kama itakuja kutokea wakamatwe. Siku wakikamatwa na kuzinguliwa nao watalia na kuona kama mshtuko.

Kikubwa Hatuwezi kutetea feki yoyote kama watanzania awe mwanasiasa au mtumishi wa Umma. Ila yakitokea haya hayawafanyi wahusika kutohurumiwa maana yanaathili jamii yao yote wakiwemo watoto. Ndio maana mkuu pale juu anajaribu kutoa mawazo ya nini wafanye.
 
Waanze maisha mapya.

Wengi waliokumbwa na hili sekeseke ni Madereva na Masecretary.
 
Hawa waliofukuzwa wajihadhali sana na hawa wachungaji feki,Soon wataanza kuwatumia kama mtaji wao na kuwamalizia pesa zao za mwisho mwisho
 
asante kwa kunifariji na kunipa mwanga na njia sahihi ya kupita mkuu, ama kweli hujafa hujaumbika
 
Back
Top Bottom