Kwa wale wasio na...

 
mi nililiona saa nyingi sana hili nikaona ninyamaze tu
 
Hata mimi kuna mbabu humu lakni simtaji ni SECRET ADMIRER ila huwa anajihisi nimemdondokea..Salamu zangu za Valentine zikufikie popote ulipo hapa JF..Copy Asprin Dark City (nb mliokopiwa hamuhusiki ni itifaki imezingatiwa)

Funguka tu mdogo wangu,

Leo mmepewa ruksa na Mrembo by Nature,

Itumie vizuri basi,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
eheheeee vigrandpa vina mvuto hivo?????????/ visweet sana kwa valentine.tujipange


Mbona sasa unaendekeza uzembe??

BTW, bado masaa tu Val day iishe.......shaurilo!!

Babu DC!!
 
Jamani, hawa wazee hawa kaa nao mbali, naona kidole chako kinataka kunichoma jicho

Mie kuna mmoja wao namuadimaya kikweli kweli, ila namuonea aibu kufunguka :majani7::becky::majani7:

Kwani umezuiwa kufunguka??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Unaniumiza moyoni kwa maneno hayo ujue?

Yaani namuadimaya ila basi tu, ukimtaja taja siku pendwa kama hii?!

hahahaa. Kama ni Asprin mie hata bure simtaki ila Babu Dark city hapa huyu ni kama gesi ya Mtwara alivo na thamani. lakn hata hivyo sio yeye..MY SECRET ADMIRER anajijua!!
 
mimi sijapata aliyenipm jamani muda unaenda sana nitabaki mpweke
 
 
Last edited by a moderator:
Unaniumiza moyoni kwa maneno hayo ujue?

Yaani namuadimaya ila basi tu, ukimtaja taja siku pendwa kama hii?!


Shauri yenu,

Kusema hamtaki kusema, mnakaa kuwavimbisha wazee wa watu vichwa vyote.....

Babu DC!!
 
Ha ha ha ha, acha tuwavimbishe waongeze maisha

Ila naandaa waraka wa kufunguka
Shauri yenu,

Kusema hamtaki kusema, mnakaa kuwavimbisha wazee wa watu vichwa vyote.....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Naona aibu
Si unajua mie mwali?


Kweli kabisa Kongosho...mwanamke na aibu ni mapacha...

Umenikumbusha kaneno alinambia Bibi juzi, eti....."Mwanamke manyonyo kwani makalio hata wanaume wanayo...lol"!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, acha tuwavimbishe waongeze maisha

Ila naandaa waraka wa kufunguka


Hata mimi najiandaa kumfungukia mtu this time next year....!!

Najua pensheni itakuwa inakaribia kuisha....

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…