Kwa wale wapenzi wa vitenge na African cultures

1546880890503.jpeg
 
🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli halafu mimi nina katabia kabaya naweza kushona nguo nikaludi nayo home nikijalibu nikakosoa sehemu moja hiyo sitoivyaa yaani mpaka najiuliza why hata kama nitaipeleka kwa fundi alekebishe.
Sasa hiyo ni hasara aisee. Inabid uende kwa mafund wa bei ya juu
 
Upuuzi ni kununua kitenge 25,000 fundi akushonee kwa laki moja
Yaan halafu ukute akiharibu.

Mm nimejifunza nachanga na mtu, na hiv mwili wenyewe moja, sema kitambii sielewi nakittoaje kama na mimba ya miez 3, hivyo nguo ya kubana kwangu mwiko
 
Yaan halafu ukute akiharibu.

Mm nimejifunza nachanga na mtu, na hiv mwili wenyewe moja, sema kitambii sielewi nakittoaje kama na mimba ya miez 3, hivyo nguo ya kubana kwangu mwiko
Unachanga na mtu, unaongezea na lace.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom