Mpaka unakuja kulinganisha FIFA NA PES,ni dhahiri ya kwamba haya magemu hujayacheza yote ukajifanyia mizania.
Ni sawa na kuja kuuliza SOMALIA NA UFARANSA wapi pameendelea....
Nakili nilianza kucheza PES Ila nilishawishiwa nijaribu na FIFA kua ni zuri kuliko PES kwakweli sikutokea kulipenda ila nilichogundua watu wengi wanaocheza FIFA pia wanaweza kucheza PES Ila wanaocheza PES wengi hawawezi FIFA kwa tafsiri nyepesi ni kwamba PES ni Bora kuliko FIFA sema tu ni vile Fifa ina license za kutosha na linapewa promo kubwa Sana ...Mpaka unakuja kulinganisha FIFA NA PES,ni dhahiri ya kwamba haya magemu hujayacheza yote ukajifanyia mizania.
Ni sawa na kuja kuuliza SOMALIA NA UFARANSA wapi pameendelea....