Napenda udi ila naogopeshwa kuambiwa kuwa eti zinaleta majini, mi huwa napenda tu kuchoma chumbani panukie, sasa nikiskia hizo habari nyingine stimu zinakataMimi napenda al-ud siku za ijumaa hua napenda kumix udi na al - udi
Al-ud zina majina mengi sana ni wewe tu na harufu itakayokuvutia
Natumia zaidi ya maryam na invitation sababu napenda harufu zake
Siku zingine za kawaida natumia perfume ya kawaida tu
Hivi kumbe miski inatumika kama marashi pia, teh mi najua matumizi mengineTumia miski nyeupe na nyekundu
Matumizi mengine kama yepi?Hivi kumbe miski inatumika kama marashi pia, teh mi najua matumizi mengine
Wala kama zinaleta majini basi me ningekua sjui ninao wangapiNapenda udi ila naogopeshwa kuambiwa kuwa eti zinaleta majini, mi huwa napenda tu kuchoma chumbani panukie, sasa nikiskia hizo habari nyingine stimu zinakata
mshana jr huyo akanambia nakaribisha vitu vya ajabu, wakati mi napenda room inukie, mie ninukie, mwanga mdogo then kifuatacho itv ni......Wala kama zinaleta majini basi me ningekua sjui ninao wangapi
Udi ni mzuri sana kama unavyofanya sasa me hua nauchoma halaf nalimwagia maji pazia nalilowesha kiasi yan nachota maji na mkono akung'utia kwenye mapazia ule moshi unaenda kutua kwenye hayo matone
Hata usitishike n story za watu tu
Mh hahhahhahahhamshana jr huyo akanambia nakaribisha vitu vya ajabu, wakati mi napenda room inukie, mie ninukie, mwanga mdogo then kifuatacho itv ni......
Bei gani mkuuView attachment 630231 Naitafuta hiii kitu, kuna mtu alikuwa anauza sijui kwa kumpata