Vibarua ujenzi wa viwanja vya mpira Dodoma na Arusha

King mkucha

Member
Oct 14, 2016
89
70
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni kuwauliza wana JF hivi ujenzi wa hivi viwanja unaanza lini na ni( wapi?) Na vibarua inakuwaje ndugu zangu kupata hata kibarua tupambane kwa mliopo dodoma na Arusha tujuzane wadau
 
Back
Top Bottom