Kwa wale wapenzi wa celebrities forum tu

Kwa wale wapenzi wa jukwaa letu pendwa la celebrities forum ,leo nataka mniambie mnataka mada zipi au celebrity/celebrities wepi mnataka tuwajadili kwa mapana zaidi?

Maana niliamua kukaa kando kidogo kwenye kuandaa mada humu jukwaani ili kupisha vijana kidogo na wao watuoneshe walichonacho.


Lakini kwa masikitiko makubwa kabisa hili jukwaa likawa linadidimia kila kukicha maana kila nikiingia sioni mada ya kuchangamsha jukwaa .

Hivyo basi ni jukumu langu mimi na nyinyi wenzangu tuungane ili tulifufue jukwaa letu pendwa

Nakaribisha maoni


Karibuni


View attachment 500275
Hance those who labeled as celebrities... They have reached the end of their time... Kwakuwa walipata kiki si kupitia kazi zao (most of them) bali kupitia kashfa mbalimbali na magazeti ya udaku
Wengi walipata majina makubwa kuliko uhalisia
Celebrity must carry the qualities of a celeb
Talents
Money/wealth
Uniqueness
Decorations
Garments n wearing etc
Siku hizi instagram fb nk zimepiku magazeti ya udaku, kila kitu kinaishia huko na watu wanapata umbea wote kwa mapana na uhalisia wake sio zile feki kiki za waandishi uchwara wa magazeti ya udaku
Kuwa celeb you have to mean it katika uhalisia wake, ndio maana kwasasa anayevuma ni Chibu n the like... Kwakuwa wanafanya halisi na inaonekana si umbea si majungu si kashfa bali ni vitu unique vinavyoleta positive impact na influence katika jamii
We are living in the era of reasoning that's why fake celebs will automatically diminished, vanished totally
Kwahiyo kupoa kwa jukwaa si makosa ya Madogo as per your opinion ni mahitaji ya nyakati... There is nothing crucial to feed the society.. There is no demand, there is no uniqueness... Everything is just very normal and this is not the way of a celebrity
To be a true celeb you have to stand above the rest and act in exlclusiv manners! In whatever you do....!!!!
 
0d858e81b1b8af3e8c21373cfb8486dd.jpg
7c236efd38eb99e5203796ede275a7e1.jpg
Moyo sukuma damu
 
Back
Top Bottom