Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,588
- 25,563
Kwa wale wapenzi wa jukwaa letu pendwa la celebrities forum ,leo nataka mniambie mnataka mada zipi au celebrity/celebrities wepi mnataka tuwajadili kwa mapana zaidi?
Maana niliamua kukaa kando kidogo kwenye kuandaa mada humu jukwaani ili kupisha vijana kidogo na wao watuoneshe walichonacho.
Lakini kwa masikitiko makubwa kabisa hili jukwaa likawa linadidimia kila kukicha maana kila nikiingia sioni mada ya kuchangamsha jukwaa .
Hivyo basi ni jukumu langu mimi na nyinyi wenzangu tuungane ili tulifufue jukwaa letu pendwa
Nakaribisha maoni
Karibuni