axel fowly
Senior Member
- Aug 14, 2012
- 114
- 23
nawasalimu wana jf wote wakubwa kwa wadogo..wadau ningependa kujua chances ya kubadili course pale muhas ikoje kwa wale mwaka wa kwanza mfano kuhama bpharm kwenda MD...naomba msaada wakujuzwa wakuu
Nenda ofisini kwa Director wa Undergraduate wanaweza .kusaidia
Vp baba utuambizane bac Mtoa mada! una dondoo kuhusu selection nini? Kwani umeshapata addmission pande hizo nini? Cause kama unajihakikishia ushindi hiviii
mkuu mbona bpharm ndo mpango mzima..kaa hapo hapo usihame
mkuu wewe niangalizie godwin nnko,mimi nlichagua pale MD,kama nipo tunaweza tukafanya mchakato wa kubadilishana kama watataka mmbadilishano..cha muhimu wwe niangalizie kwanza..!
Jamani...mwenzetu achagui 'girlfriend' kusema utaangalia umwambie huyu mbay/mzuri, mrefu/mfupi, mweupe/cheusi etc... hii ni future yake, na yeye mwenyewe ndio mwenye jukumu la kujiamulia! kama anataka MD na amechaguliwa BPharm, na anatafuta njia ya kubadili..msaidieni kufanikisha hilo!
Mdogo wangu alichaguliwa BPharm akabadili kufanya MD hapo hapo, but huo ulikuwa mwaka 2003. Ninachojua ni kuwa, inategemea na kama umequalify for MD Course..na pili kama kuna nafasi (labda kuna watu hawakureport for registration, na hivyo kuna nafasi kwenye MD class husika). Hizo condition mbili zikitimia, basi unahama tu!
Nimeona hapo mtu anaitwa Godwin Nnko naye anataka kubadili MD kwenda BPharm...hiyo ni chance nzuri in case MD class itakuwa imejaa, basi una nafasi tayari, provided umequalify for MD course!
All in all, nenda kaombe ushauri kwa ofisi ya Director of Undergraduate Studies MUHAS..na wasiliana in advance na huyo Bwana Nnko!

would have been my pleasure kufanya hivyo mkuu..ila mimi pia wameniangalizia wakati selection zilivyo pelekwa vyuoni so hizo results sina...na je mpaka ufanye exchange ni mpaka nafasi ipatikane au..??
mkuu info tayari ninazo kuwa nimechaguliwa pale...mada sijatoa kwa kubahatisha
tupia ma-evidence basi! unafikiri tutakuamini vp?????????????