Huu mziki ukileta uswazi kwetu utaona mengi sanaNdio maana umefungwa nje
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah yaani sehemu yoyote unaweza kuanzisha kigodoroUnafaa kwa sherehe hasa vigodoro na ngoma za kusutana uswazi
Huo pasua kichwaHuu mziki ni hatari wala sitautaka
Unafaa kwa sherehe hasa vigodoro na ngoma za kusutana uswazi