Kwa wale wanaopenda Majini Mahaba huyu ndio jini mahaba mwenyewe

Mzizi ningekuwa nalala mwenyewe........leo ningekuwa mgeni wako........huwezi nitisha hivi usiku kama huu..........
 
Kumbe mzuri hivyo duh!
Umempenda huyu Jini mkuu gollocko akujie leo usiku huyo Jini?

Kumbe ni mrembo hvyo?
Umempenda huyu Jini mkuu steveachi akujie leo usiku huyo Jini?

Mzizi mkavu nahitaji kujua zaidi
Ukihitaji kujuwa zaidi nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

Mzizi ningekuwa nalala mwenyewe........leo ningekuwa mgeni wako........huwezi nitisha hivi usiku kama huu..........
Bibie Preta Hawa Viumbe wapo kila sehemu hata hapo unapoishi wewe wapo tena wengi huwezi kuwaona tu.

Huyo wa kike anafaa kidogo kwa mchakato denda,tena huku umekamata mapembe

hao hawaonekan,huyo pic katoà wap?
mbona kabust maziwa hv?
xem jin mwenyew àtakuw co mtam kuz mweupe
alitakiwà awe mweuc km kokunyegela
Mkuu lukubuzo Samsis Nitakutafutia Jini Mwanamke Mweusi uwe naye awe mpenzi wako unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
mkuu MziziMkavu hapo yupo kazini nini maana jicho la mahaba niuwe hilo lol!
Na huyu hapa ndio Jini Dume anavyofanya Mapenzi usiku na Mwanamke wa kibinadamu anapokuwa amelala usingizini.

547398_391739557545621_1818604187_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom