Kwa wale wanaopenda kwenda Polisi, magereza, JWTZ isipokuwa JKT usaili wanukia.

Sasa ni lini watatangaza juu ya Degree holders Jamani?Na sisi wa huku Swekeni bushi tutajuaje ili tuwahi huo uandikishaji na hatimaye usaili,Pleas kama wameshatangaza kwa ajili ya degrees MTUJUZE WAKUU
 
ndani ya jeshi.walikuwa na usaili wa afsa kadeti na leo ndo wanatakiwa kuanza kurepot huko monduli kwao...kuna usaili mwngne...kwa wale wote wenye C ya hesabu na phizikia..wanatakiwa kupelekwa zimbabwe kujifunza ufundi wa ndege..na hi koz ipo chini ya kikosi..mwezi wa sita wanatakiwa monduli kufanya mafunzo ya uafsa...wakimaliza wanachukua raia...na ikumbukwe hao diploma,certfkate na form six walishapewa vyeo na sasa ni kulipa tu.
Haya septemba siamini kbs...


Du C tu haaaaaa ya physics na Advance Maths haaaaaaaa kwa sie tuliopata AAA tunaenda bila interview
 
please naomba unitumie PM zikitangazwa nahitaji kwenda magereza:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom