Kwa wale wanaohitaji huduma ya bima karibuni sana

kodian

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
977
Reaction score
1,106
Mimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance kwa rate nzuri

Kwa mawasiliano zaidi 0718228925 call au whatsupp
 
Juzi nilikuwa Britam Head Office na wenyewe wanamshauri mteja aende Head Quarters kukata bima kuepuka bima feki.
Sidhani kama ni sahihi kwa sababu wao wnyew ndio wnatoa vitabu ss tena kwann waseme hvo
 
Mimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance kwa rate nzuri

Kwa mawasiliano zaidi 0718228925 call au whatsupp

Kwa nini huna ofisi tukigundua ni feki tujue pa kuanzia? Ma agent, ma broker, ma dalali wa Kiswahili tabu tupu...
 
Oky mi ni kama direct sales wa britam Mkuu na ofisi zipo hapa moroco bus terminal ukitaka kujiridhisha haina shida tunaenda wote britam
 
Then vitu vyote vinakua vimegongwa mhuri wa britam so sdhani kama kuna udangnyifu hapo
 
Karbuni kwa anaehitaji insurance naomba anitafta kwa nmba hzo hapo juu
Iwe Bima ya magari, ya nyumba na hata bima ya afya karbuni
 
Mimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance kwa rate nzuri

Kwa mawasiliano zaidi 0718228925 call au whatsupp
Ila ajali inapotokea na anahitaji kulipwa hamumfati alipo ,, yeye ndio anahangaika kufatilia bima mwaka mzima ,,, siwapend bima ni basi tu hakuna namna
 
Hapana unafuatwa na wanakja kuanglia ajali yako then unalipwa
 
Ila ajali inapotokea na anahitaji kulipwa hamumfati alipo ,, yeye ndio anahangaika kufatilia bima mwaka mzima ,,, siwapend bima ni basi tu hakuna namna
Ukishatoa tu taarifa tutakwambia vitu vinavohitajika
 
Ila ajali inapotokea na anahitaji kulipwa hamumfati alipo ,, yeye ndio anahangaika kufatilia bima mwaka mzima ,,, siwapend bima ni basi tu hakuna namna
But karbu sana uhudumiwe Bima hafu ukipata service yetu utakja ksema hapa
 
Back
Top Bottom