Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,697
Mkuu hebu wacha hizo story ujue,,, wanakuja kuangalia ajali/uharibifu hayo malipo yake utajikuta mtu unasamehe,,kazi njemaHapana unafuatwa na wanakja kuanglia ajali yako then unalipwa
Mkuu hebu wacha hizo story ujue,,, wanakuja kuangalia ajali/uharibifu hayo malipo yake utajikuta mtu unasamehe,,kazi njemaHapana unafuatwa na wanakja kuanglia ajali yako then unalipwa
bei ganiZipo za halali na sio feki lakn
Kwa mwaka mzima sioThird party 59000
Watu wana muhuri mpk wa ikulu wacha hio BritamThen vitu vyote vinakua vimegongwa mhuri wa britam so sdhani kama kuna udangnyifu hapo
Kwenye mtandao unaangaliaje mkuu? hebu nipe maujuziMimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance kwa rate nzuri
Kwa mawasiliano zaidi 0718228925 call au whatsupp
Weka hapa wazi watu wengi wapate elimu. Hajakuuliza PMMkuu nilku PM