Kwa wale wanaohitaji huduma ya bima karibuni sana

Mkuu rate zmebadlika toka mwezi wa 7 so saiv ni kuanzia 3.5% angalia hyo ilkua lini?
Haya Mkuu,
Kila la heri,
By the way mnachukua muda gani mpaka Premium kua booked then mteja kupata Policy yake? Au haya ni ya ofisini zaidi?
 
Ukilipia tu premium nakupa na policy yake mkuu
 
Yaah sio ya kuandka inatoka ofisin mkuu
Duh, basi uko vizuri aisee.
Agents wengine hutoa za mkono kwanza kisha mteja huambiwa arudi after 3weeks+.
Perhaps wewe humchukua mteja direct to head office, humhudumii ofisini kwako.
Poa mkuu wangu, ntakucheki
 
Yaah karib kaka naweza kukuandkia covernote then policy nakuletea nkienda ofsin au hata tunaweza kwenda wote
 
Duh, basi uko vizuri aisee.
Agents wengine hutoa za mkono kwanza kisha mteja huambiwa arudi after 3weeks+.
Perhaps wewe humchukua mteja direct to head office, humhudumii ofisini kwako.
Poa mkuu wangu, ntakucheki
Karbu sana mkuu usisite kunichek mda wowote
 
Kuna agent alilipwa hela ya comprehensive akatoa kitu cha third party soku garo imelata ajali ndio kiranga kiliibuka...

Acheni janja janja
 
Risiti na Cover note aliompa mteja iliandikwaje?
Comprehensive but gari lilipopata ajali ikawa dana dana siku anaenda ofsini anakuta imekatwa third party ndio wakaanza kutafutana wakala akakiri kapiga cha juu.... Hawa watu wa insuarance wasumbufu tu.
 
Kama iliandkwa comprehensive kwny covernote mtu hawez kuwek kwny ssytem km third party hyo nakataa ila km haikuwekwa kwny ssytem hapo sawa mana huez kuingiza kitu tofaut na ulichoandka kwny covernote mkuu
 
Mi sio agent wa kukaa home tu kisa nawaandkia wateja m hua nampa op mteja if tunaweza kwend wote ofisin HQ sawa ili awe na amani ila km akiniamin nayo ni poaa mana ataanglia knwy ssytem na kuona

Back
Top Bottom