Kwa wale wanaohitaji huduma ya bima karibuni sana

Kwa wale wanaohitaji huduma ya bima karibuni sana

Mwambie aingie google play kisha a download TIRA MIS hapo atahakik kila kitu kuhusu bima in nzuri saana friend ly user
Screenshot_20180405-135706.png
hapo nimekuonesha mfano wa stika ya bima 8829537 ambayo imeshaisha na muda uliokwisha
 
Karbuni kwa anaehitaji insurance naomba anitafta kwa nmba hzo hapo juu
Iwe Bima ya magari, ya nyumba na hata bima ya afya karbuni
 
Nashukuru sana kw mlio nisupport
Karbuni tena kwa anaehitaji insurance naomba anitafta kwa nmba hzo mwanzo
Iwe Bima ya magari, ya nyumba na hata bima ya afya karbuni
Karibuni sana
 
Karbuni kwa anaehitaji insurance naomba anitafta kwa nmba hzo hapo juu
Iwe Bima ya magari, ya nyumba na hata bima ya afya karbuni
 
Karbuni kwa anaehitaji motor insurance naomba anitafta kwa namba hizo hapo juu
Karibuni sana
 
me nataka bima feki ile stika tu vp ntapata kwako?
 
Kodian unaposema unakata Bima kwa rate nzuri una maana gani??. Ninachojua ni kuwa rates zinakuwa controlled na Regulator- kwa maana ya TIRA. Kwa mfano Private Car/Vehicle ni 3% plus VAT 18%. Niambie hiyo rate nzuri ni ipi????
 
Kuna wengine wanakata mpk rate 3.5% au 4% + VAT
 
Niko kwenye insurance industry. Wewe ni competitor.
 
Karbuni kwa anaehitaji Bima ya gari naomba anitafute
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom