tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
we unajisumbua! nani amekwambia JF kuna wanawake wazuri?? hakuna wanawake wazuri humu(tabia na shape) na ndio maana wanajifariji na majina kama miss,malaika, mrembo,mzuri,cute na mengine. wanawake wa humu wote wana sura za baba zao!
Kuachwa kuachwa,,, kutoswa kubaya unaweza kulopoka lolote lile!!!!!!!!!! mwekundu hebu mwambie huyu nilivo cute.
Last edited by a moderator: