Kwa wale waliopata kazi ya sensa malipo ni.......

huku Moshi tuiomba watu zaidi ya elfu tano wamechaguliza mia tatu na uchee,cc tuliotoka chuo hakuna aliyepata.form six wawili wamepata na form four mmoja.waliobaki wote ni walimu.Hii inapingana na kauli ya "Liwalo na Liwe" as alisema wametoa nafasi nyingi kkwa wanafunzi waliomaliza ili angalao wajipaitie vujisent.
 
ni huko moshi, dar walim kibao wamebwaga..2mepata tusio na ajira, mungu ashukuriwe.
 
huku Moshi tuiomba watu zaidi ya elfu tano wamechaguliza mia tatu na uchee,cc tuliotoka chuo hakuna aliyepata.form six wawili wamepata na form four mmoja.waliobaki wote ni walimu.Hii inapingana na kauli ya "Liwalo na Liwe" as alisema wametoa nafasi nyingi kkwa wanafunzi waliomaliza ili angalao wajipaitie vujisent.

alafu hizo exactly precisely figure umetoa wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom