Kwa wale waliopata kazi ya sensa malipo ni....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale waliopata kazi ya sensa malipo ni.......

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kikaragosi, Aug 9, 2012.

 1. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi ni mmoja wapo kati ya niliyopata kazi ya sensa tumeambiwa tutalipewa elfu35 kwa siku na 250000 kazi ya sensa pamoja na nauli elfu35 kwa wenye dodoso ndefu kwa fupi cjajua.
  NAWASILISHA WADAU pia nashukuru sana kwakuwa nlijua hyo kazi humu pamoja na ikupata le form yao ya kujaza
   
 2. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,404
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 280
  Hongera na katimize wajibu uliopewa!
   
 3. mwl frank

  mwl frank Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Huku tumekatwa tsh 5000 kwa kila siku ya semina,kwa chai na chakula,fedha ya chakula haijatumwa toka taifa!huko vipi?
   
 4. Kankwale

  Kankwale Senior Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :israel::israel:hongera sana sisi tumekosa.
   
 5. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwa waliofunga ramadhani imekuaje ama km mtu hutaki kula wala kunywa chai ikoje hapo
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sisi bado hatujalipwa,wanasema hela bado,halafu kwenye msosi hapo jamaa anasisitiza walete msosi wakati makarani hatutaki.
   
 7. m

  mosagane Senior Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa dodoso ndefu semina ni siku ngapi?
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Bora hata nilikosa.
   
 9. c

  cielo Senior Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwann unasema bora ulikosa?
   
 10. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  siizitaki mmbiicchi hizi!
   
 11. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Endeleeni kukataa. mkikubali mmeumia!!  Yanatoka moyoni mwako au mdomoni??!!
   
 12. KML

  KML JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuwatosa walimu nmeumia sana,hawajawatendea haki
   
 13. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  sisi wengine ndo fomu zetu ziliwekwakwenye.......................in
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kweli hiyo kazi utaiweza?mbona kama vile hujielewi...huko kwenye rangi za hatari unamaanisha nini?
  hongera lakini
   
 15. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haijalishi
   
 16. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Waislamu hawapo kwenye shughuli zozote znazohusu SENSA,kwani umesahau mambo ya ponda? Thats why they put flat rate in lunch and breakfast to all makarani
   
 17. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Serikali itegemee data za kugushi maana Walimu ndio walikua waaminifu sana! mi vijana nawajua sana atapewa nyumba kumi atatembelea tatu nyingine zote anapika.
   
 18. B

  Bintimpendamaendeleo Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Enendeni kafanyeni kazi mliyoagizwa na muangalie sana msije mkawa kama Ngoswe!!
   
 19. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  inaonekana wewe ulikuwa mwalimu uliyekosa. Naomba tu walimu wakafundishe watoto wetu kwa uaminifu ili hili anguko la elimu Tanzania lipungue.
   
 20. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi inakuwaje watu wanataka kula hela kiraisi,yaani kwa siku mnakatwa elfu tano kwa chakula gani,bora ujifanye unafunga ni utapeli maana swala la chakula c lazima :yawn:
   
Loading...