kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
Huku tumekatwa tsh 5000 kwa kila siku ya semina,kwa chai na chakula,fedha ya chakula haijatumwa toka taifa!huko vipi?
Bora hata nilikosa.
Bora hata nilikosa.
Sisi bado hatujalipwa,wanasema hela bado,halafu kwenye msosi hapo jamaa anasisitiza walete msosi wakati makarani hatutaki.
Bora hata nilikosa.
mimi ni mmoja wapo kati ya niliyopata kazi ya sensa tumeambiwa tutalipewa elfu35 kwa siku na 250000 kazi ya sensa pamoja na nauli elfu35 kwa wenye dodoso ndefu kwa fupi cjajua.
NAWASILISHA WADAU pia nashukuru sana kwakuwa nlijua hyo kazi humu pamoja na ikupata le form yao ya kujaza
kwa waliofunga ramadhani imekuaje ama km mtu hutaki kula wala kunywa chai ikoje hapo
inaonekana wewe ulikuwa mwalimu uliyekosa. Naomba tu walimu wakafundishe watoto wetu kwa uaminifu ili hili anguko la elimu Tanzania lipungue.Serikali itegemee data za kugushi maana Walimu ndio walikua waaminifu sana! mi vijana nawajua sana atapewa nyumba kumi atatembelea tatu nyingine zote anapika.