Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
Sure!!Ukweli huwa ni mzuri tangia mwanzo ili kuja kurekebisha matatizo mbeleni, bora kusema ili ujue ka MTU ataendelea na wewe hivo hivo
Kuna kitabu kina habari ya kweli kuhusu msichana ambaye aliwahi kuumwa na ktk kutibiwa akaambiwa hatokuja kupata mtoto.Alipopata mchumba akamweka wazi kuhusu tatizo lake na chakushangaza jamaa akamwuliza kama sio Mungu aliyesema hutopata mtoto mimi nnaamini tutapata watoto.Walioana na kupata watoto japokua ujauzito wa kwanza ulitoka....